kanda ya serengeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakemea vikali ukamataji unaofanywa na Polisi dhidi ya viongozi wake wa kanda ya Serengeti unaokiuka misingi ya haki za kibinaadamu

    Kupitia Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Desemba 26, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakemea vikali wimbi la ukamataji viongozi linaloendelea katika Kanda ya Serengeti, hususani mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga. Vitendo hivi vinavyofanywa na Jeshi la Polisi ni mwendelezo wa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti adai walio katika ziara ya Heche wanalipwa 200,000 /kila siku

    Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi. Kumbe mikutano ibaandaliwa...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkoa wa Mara, kanda ya Serengeti waandaa report ya mauaji na uvunjifu wa demokrasia

    ➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Heche alishindwa na Esther Matiko nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Serengeti

    Heshima sana Wanajamvi, Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA. Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana...
Back
Top Bottom