PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.

Ngoto ameeleza kuwa alikamatwa na wenzie katika maeneo ya mahakama ya Kisutu kisha kupelekwa maeneo ya Ununio kisha kupigwa na baadae kupelekwa na kutupwa katika pori la pande liliopo Bagamoyo mkoani Pwani.

Aidha ameeleza kuwa walipigwa kwa muda mrefu na wakati mwingine waliwekwa kwenye maji machafu na kisha kubebwa na kupelekwa Bagamoyo.
 
Polisisiem wanatumika vibaya sana kama maroboti ya rimoti
 
Back
Top Bottom