The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Gentleman,
View: https://youtu.be/zBRteFZurBo?si=u8QzZjWBlpICMO1A➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha uraia wa huyo mwananchi kama kweli ni wa Kenya. Serikali ya Kenya ilijibu na kusema hiyo National ID ni feki, sio kitambulisho chao...
➡Waliobambikizwa kesi watu 150....
➡Waliopigwa na polisi na kufanywa vilema kwa sbb ya uchaguzi ni 110...
➡Waliouwawa na jeshi la polisi ni zaidi ya 4 mwaka 2024....
##Matukio yote katika ripoti yameambatana na majina ya wahusika na picha zao pamoja na barua ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa National ID ya kesho iliyotengenezwa na viongozi wa CCM ni feki, forgery...
ni mdogo wake heche John kabisa kabisa(tumbomoja)Huyu mwenyekiti wa Mara yupo vizuri sana anautulivu halafu IQ yake iko sawasawa.
Mikoa yote ikiandaa ripoti kama hii itakuwa vizuri sana
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha uraia wa huyo mwananchi kama kweli ni wa Kenya. Serikali ya Kenya ilijibu na kusema hiyo National ID ni feki, sio kitambulisho chao.
➡Waliobambikizwa kesi watu 150....
➡Waliopigwa na polisi na kufanywa vilema kwa sbb ya uchaguzi ni 110...
➡Waliouwawa na jeshi la polisi ni zaidi ya 4 mwaka 2024....
#Matukio yote katika ripoti yameambatana na majina ya wahusika na picha zao pamoja na barua ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa National ID ya kesho iliyotengenezwa na viongozi wa CCM ni feki, forger.