Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Akizungumza na Wanahabari Mbunge mstaafu wa Nkasi Kaskazini na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake mkoa wa Rukwa, Aida Kenani ameshangazwa na kitendo cha Polisi mkoa wa Rukwa kuwazuia kupanda miche hiyo huku akisisitiza kuwa miti hiyo si kwa ajili ya CHADEMA pekee bali itawasaidia hata wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.
Kamata polisi ccm mmoja mkate pumbu live ndiyo akili zitawakaa inshaAllahPoliccm ni watu wa hovyo sana.
Acheni maigizo.ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV jitokezeji mliokuwa mnajifanya mnahubiri amani, tujue ni akina nani wanaharibu amani. Macjawa sugu uwanja huo wa jinsi cdm ilivyokufa na kinachowaua Tlaatlaah Lucas Mwashambwa THE BIG SHOW