CHADEMA mlimuita Jakaya Kikwete dhaifu, kulikoni tena leo mnamuhitaji?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.

IMG_20210817_100101.jpg

20210817_100148.jpg
 
Unahitaji kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuwaelewa CHADEMA wanataka nini na wana Malengo gani kwa Tanzania.
Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
 
Mkuu Ritz , uwe unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
 
Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Ilikuwa bungeni,acha uongo!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu Ritz , unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
Mjadala ufungwe kwa comment hii!
 
Mkuu Ritz , unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
CCM hanaga akili kauli ya Mbilinyi ndiyo kauli ya chama?

Kwa hiyo yale matamko ya Gwajima ni ccm?

Hawa watu bure kabisa
 
Aisee akili za makalioni hizi hapo ni kauli ya Mbilinyi au ya Chama
 
Ilikuwa bungeni,acha uongo!
Usiwe punguani akumuita mara moja au mara mbili Mnyika alitolewa nje ya bunge kwa kusema Kikwete ni mdhaifu na bado kwenye mikutano akaendelea kusema.
 
Wewe punguani kweli kwa hiyo Lissu na Lema michango wanayoomba tuwachangie ni ya kwao binasfi.
Huna akili,kwahiyo kila aliyekuwa mbunge wa CDM akitoka na maoni yake basi ni maoni ya CDM?
Maoni ya Gwajima na Polepole ni maoni ya CCM?
Jitambue!
 
JK anaweza kuwa mgombea wa Urais wa CDM 2025...CDM hawaaminiki hawa...
 
Wanaukumbi.

Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.

View attachment 1895277

View attachment 1895281

Binadamu mtihani sana. Mtu akiwepo hafai. Akiondoka tunaanza ktoa references zake mambo yakikwama
 
Wanaukumbi.

Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.

View attachment 1895277

View attachment 1895281
weka uzibitisho wakati wanamubeza hata uzi tu unatosha
 
Mimi naona wewe jamaa Ni kilaza Sana unadhani Taifa hili la Chama kimoja ,,nyie wote wanasiasa Ni walaji tu.
 
Wanaukumbi.

Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.

View attachment 1895277

View attachment 1895281
Huwa mnalalamika kuwa CHADEMA hawaoni jema lolote linalofanywa na serikali/viongozi wa serikali na kupongeza ajabu ni kuwa wakiona na kuanza kupongeza mnaanza tena kulalamika na kuwazodoa. Tuwaeleweje nyie vijana wa uvccm
 
Back
Top Bottom