Ukweli mchungu, mzee kikwete ana haki ya kusema kwamba acha tukome, sabb ni ukweli usopingika ktk utawala wake ndo kipindi upinzan ulistawi mnooo, lakin huyu mzee alitukanwa mnooo, hadi alitukaniwa wazaz wake, 2015 siku ya mwisho ya kampen huyu mzee hadi alidondosha machoz akisema, mmeniita mi dhaifu sina maamuzi haya sasa nawaletea mkali na mwenye maamuzi, na kweli ikawa, so acha tupete tu ktk madhila tunopitia na mzee kikwete asitie huruma yake kwetu ili tujifunze kwamba uongoz bora ni wa kidplomasi ambao ndo alokuwa kaubeba jk