Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.Unahitaji kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuwaelewa CHADEMA wanataka nini na wana Malengo gani kwa Tanzania.
Ilikuwa bungeni,acha uongo!Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Mjadala ufungwe kwa comment hii!Mkuu Ritz , unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
CCM hanaga akili kauli ya Mbilinyi ndiyo kauli ya chama?Mkuu Ritz , unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
NdiyoWewe punguani kweli kwa hiyo Lissu na Lema michango wanayoomba tuwachangie ni ya kwao binasfi.
Huna akili,kwahiyo kila aliyekuwa mbunge wa CDM akitoka na maoni yake basi ni maoni ya CDM?Wewe punguani kweli kwa hiyo Lissu na Lema michango wanayoomba tuwachangie ni ya kwao binasfi.
Wanamatatizo sanaWanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
View attachment 1895277
View attachment 1895281
Wanaukumbi.

weka uzibitisho wakati wanamubeza hata uzi tu unatoshaWanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
View attachment 1895277
View attachment 1895281
Huwa mnalalamika kuwa CHADEMA hawaoni jema lolote linalofanywa na serikali/viongozi wa serikali na kupongeza ajabu ni kuwa wakiona na kuanza kupongeza mnaanza tena kulalamika na kuwazodoa. Tuwaeleweje nyie vijana wa uvccmWanaukumbi.