CCM wanawakana. Chadema mliwakana akina sugu na Mnyika?Huna akili,kwahiyo kila aliyekuwa mbunge wa CDM akitoka na maoni yake basi ni maoni ya CDM?
Maoni ya Gwajima na Polepole ni maoni ya CCM?
Jitambue!
Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Siku hizi Katibu umekua na hoja dhaifu sana, si ndio nyie mlisema tujifunze ku-appreciate? Sasa Jogwe kasema hivyo nayo imekua kesi? Mbona hamna jema nyie Walimwengu?Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
View attachment 1895277
View attachment 1895281
Aliitisha ukumbi gani? Acha uzwazwaNakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Pale ofisi za Chadema mtaa wa Ufipa.Aliitisha ukumbi gani? Acha uzwazwa
Hekima za Jk mzee wa Msoga.Na kikao kikafanyika kuwa mnyika apotezwe... JAKAYA ALIVYOJUA HILO,Akamwambia Nape je kweli mm dhaifu Nape kajibu hapana.. jk aakasema Basi MWACHEN kijana akuze jina kisiasa.ila hakikisha unazunguka Tanzania nzima kuonyesha madaraja,shule na mengineyo...siasa za hoja ndo zinahitajika
Kwani Sugu amesema ametumwa na Chama?Yaani mtu aandike maoni yake halafu iwe kazi ya chama kukaa vikao na kukana,akili za wapi?CCM wanawakana. Chadema mliwakana akina sugu na Mnyika?
Wafuasi wa Mbowe hii hawataki watakuambia mpaka Mbowe asema.Wanamatatizo sanaView attachment 1895321View attachment 1895320
Kwani dhaifu hawezi kupatanisha!!?Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Unahitaji kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuwaelewa CHADEMA wanataka nini na wana Malengo gani kwa Tanzania.
Kwani uongo kuwa ni dhaifu na mnafiki?Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
CHADEMA na Wanaharakati wao wakikutana Space wanashikiana akili wanadanganyana tu huu upuuzi aliongea Lema huko Twita.Na kikao kikafanyika kuwa mnyika apotezwe... JAKAYA ALIVYOJUA HILO,Akamwambia Nape je kweli mm dhaifu Nape kajibu hapana.. jk aakasema Basi MWACHEN kijana akuze jina kisiasa.ila hakikisha unazunguka Tanzania nzima kuonyesha madaraja,shule na mengineyo...siasa za hoja ndo zinahitajika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unahitaji kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuwaelewa CHADEMA wanataka nini na wana Malengo gani kwa Tanzania.
Vyeti feki mnaliiiiiiaaaaJK atusamehe tu tulimkosea sana,ni kama alitudekeza vile.