Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Mkuu Ritz , uwe unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
UKWELI MCHUNGU bila CHADEMA kuzaliwa upya kwa kupitia “massive reforms” ikiwa ni pamoja na uongozi mpya wote wa juu itachukua miaka 800 kuona MLANGO wa Ikulu kwa kura halali za wananchi. Ni ngumu sana wananchi kusapoti chama kisichokuwa na misimamo kutosimamia MATAMKO yake.Upiga nyundo sehemu yenyewe haswaa.
Wanaharakati uchwara mnajificha nyuma ya keyboard harafu maneno mengi kuingia barabarani kwenye battle na polisi mnaogopa.Unaekewa tofauti ya udhaifu na busara?
Ukiambiwa mwiliwako hauna nguvu, iliuonyeshe kuwa unanguvu unaanza kupiga watu? Kumbe madakitari walikuwa na maana ya nguvu za kuhimili dawa fulani kwenye figo zako. Na hapo ndo utajionyesha kuwa zwazwa.
Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Wajinga sana hawaHawaaminiki ni matapeli hawaView attachment 1895479View attachment 1895480
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo uvccm, mnajifanyaga mnaakiri kumbe ni mambumbu tu, mkizidiwa akiri mnakimbilia police. Jifunzeni Zambia watu wanaungana wanabali mfumo, unadhani mtaani maisha yanajua wewe ni uvccm!Unahitaji kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuwaelewa CHADEMA wanataka nini na wana Malengo gani kwa Tanzania.
Punguani wewe
Jielimishe: “Siasa ni mchezo unaonufaisha wachezaji sio mashabiki” mandazi kama wewe. Utakuwa mateka wa Mbowe mpaka unaingia kaburini.
Yaaani wewe mateka wa Mbowe ndiyo unifanye ni panic nakuruhusu uniite utakavyopenda hamna shida tatizo una matusi ya kizamani sana lete matusi mapya tukosema maana silaha kubwa ya Bavicha ni matusi.Acha kupanick mama Majaliwa, shida ni nini lakini?
Yaaani wewe mateka wa Mbowe ndiyo unifanye ni panic nakuruhusu uniite utakavyopenda hamna shida tatizo una matusi ya kizamani sana lete matusi mapya tukosema maana silaha kubwa ya Bavicha ni matusi.
Teh teh teh
Dada tuliza boli. Huna uwezo wowote wa hoja, unahororoja tu. Mbona mwenye uzi hajanipinga au kunijibu hadi sasa? Ndiyo maana umetumbuliwa Serikalini, akili ndogo zimekuponza🤣🤣🤣🤣Dogo njaa inazidi kukudhalilisha,ungenyamaza tu.Siku za karibuni hata nyumbu wamekuvaa
Huu ndio Ujinga Hawa vijana Chadema wengi wao hawajatabui kama huyu anatakiwa awe chambo kwenye maandamano wapigwe Risasi wufee viongozi wako kwenye Usalama na wengine wako Ulaya na Canada wao wapate mtaji wa kisiasa. Kina Lema wanapambana kuwaingiza barabarani wapigwe risasi lakini bado wanajificha JF.Tulia we msichana Acha kumalizia wanaume kifurushi.