situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni kusambaratisha chama
Naomba ni wakumbushe chadema kuwa wamebeba matumaini ya watu wengi. Wa Tanzania wanawaitaji. Kuweni makini tumieni vikao kumaliza tofauti zenu
Naomba ni wakumbushe chadema kuwa wamebeba matumaini ya watu wengi. Wa Tanzania wanawaitaji. Kuweni makini tumieni vikao kumaliza tofauti zenu