Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla

Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu

Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi ya upigaji KWa sasa ni kubwa mno na awa wahuni izi pesa awaweki ndani, wanaweka nje ,hivyo ni lazima kuwa na mtandao imara na wakasi kuzirudisha ,

Sina shida na Rais , makam rais, pm, au mawaziri kutoka chama chenu shida ninayoiona mpaka Sasa

Ni Kama mnachelewa Sasa kwenye venting ya wabunge kwenye majimbo , fanyeni Ili mapema , Ili watu watarajiwa waanze kupiga jaramba katika majimbo yao, nakumbu tunataka kuwe na Bunge imara Ili likasimamie Serikali yenu vizuri

Naongea hivi KWa ujasiri mkubwa maana mna kibali na chapa kali ambayo hakuna wa kuigeuza , so yale sijui deep state ,sijui nini tupa kule ,Amin nini nawambia.

Chata hii kwenye kibali chenu ni ya moto , atakae shindana nayo ataondoka tu, imetoka wapi msiulize

Niwatakie maandalizi mema ya serikali ijayo chini ya chama chenu Cha CHADEMA
 
Serikali ya CDM Kwa Katiba ipi?

Mbuni Huwa ana TABIA ya kuficha KICHWA ndani ya mchanga huku akiacha kiwiliwili chote nje akiamini ajificha hatari.

Hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Ameeeen.
 
Naona tuendelee kuwapa muda CCM, si mmeona vile CCM imeshinda kila kitu mwaka 2020 mambo yalivyobadilika? Maji na umeme mnapata bila tatizo, sioni haja ya kuongozwa na chama kingine.

Tanzania ya kijani kwa maendeleo yako.
#KaziIendelee
#AnaupigaMwingi
 
Serikali ya CDM Kwa Katiba ipi?

Mbuni Huwa ana TABIA ya kuficha KICHWA ndani ya mchanga huku akiacha kiwiliwili chote nje akiamini ajificha hatari.

Hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Ameeeen.
Natambua Ilo ,bila kujali uchaguzi utafanyika lini ila hoja hapa maandalizi na venting ya wabunge, lazima kuanza maana kibali na chata kali Sana wanayo so lini uchaguzi utafanyika iyo sio hoja, so usipende bishana na codes ambazo siri yake ni kubwa Sana, umesikia
 
CDM kiongeze Umakini, kingegomea uchaguzi mwaka 2015, Leo tusingelikuwa na maumivu yaliyotoka a na JIWE.

Ukikaribia uchaguzi, vyama vya siasa huiga TABIA ya mbuni kuficha KICHWA mchangani.

Wakihujumiwa na kuibiwa kura utawasikia Eti hawautambui uchaguzi na wakati wameshiriki.

Baadae wanaomba maridhiano na mtu wanaemuita Rais wakati huo huo hawamtambui😠😠😠

Sometimes Huwa siielewi CDM.
 
Ili mkono uende kinywani mzee. !!
 
Ninahakika CDM imejianda kitambo tulicheleweshwa na watu wanaitwa usalama wa taifa ila Sasa nawao wameuona moto kifupi wapo tayari Kwa mabadiliko.
 
Nakuelewa,ila elewa nimepita mbali Ili wakilisha ujumbe huu ukwaa hili, hapa kuna siri kubwa, hatuwezi yasema yote apa nasema tena ,CHADEMA WANA KIBALI NA CHATA KUBWA ,HAWAZUILIKI NA YEYOTE KUUNDA SERIKALI,aya ni Mambo makubwa na siri kubwa nasema,chezea mengine ila sio ufalme wa Mungu,
 
Natambua Ilo ,bila kujali uchaguzi utafanyika lini ila hoja hapa maandalizi na venting ya wabunge, lazima kuanza maana kibali na chata kali Sana, so lini uchaguzi utafanyika iyo sio hoja, so usipende bishana na codes ambazo siri yake ni kubwa Sana, umesikia
Kwamba tujadili NEEMA iliyo upande wa pili wa mto kabla hatujauvuka mto wenyewe!!!

Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote bt akanyimwa AKILI na kujumuishwa na hayawani wa mwituni.

Vuguvugu la KATIBA mpya ndo litoe cream ya watakaogombea na Si vinginevyo.
 
Labda serikali ya mtaa wa ufipa
mike-tyson-laugh.gif
 
Nakuelewa,ila elewa nimepita mbali Ili wakilisha ujumbe huu ukwaa hili, hapa kuna siri kubwa, hatuwezi yasema yote apa nasema tena ,CHADEMA WANA KIBALI NA CHATA KUBWA ,HAWAZUILIKI NA YEYOTE KUUNDA SERIKALI,aya ni Mambo makubwa na siri kubwa nasema,chezea mengine ila sio ufalme wa Mungu,
Ndo nasema CDM haipasi kuingia mtego wa kushiriki uchaguzi huu na kurudia makosa ya 2015 na 2020.

Viongozi wote, Mnyika, Lissu, Mbowe wako clear, Katiba mpya kwanza ndo uchaguzi baadae.

Vijana wa BAVICHA msizidiwe akili na Mzee wa Ubwabwa, anasisitiza kushinikiza tupate kwanza Katiba mpya ndo tuuingie uchaguzi.
 
Ni sawa kabisa ,ila mie nimewasilisha lile nimeambiwa kuwasilisha mengine nawaachia chama, na kumbuka Mimi katiba naitaka , na naunga mkono no katiba no uchaguzi, ila neno litabiki lilivyo mpaka alieniagiza atasema vinginevyo
 
Ninahakika CDM imejianda kitambo tulicheleweshwa na watu wanaitwa usalama wa taifa ila Sasa nawao wameuona moto kifupi wapo tayari Kwa mabadiliko.
Nasema tena CHADEMA ina kibali na Chata kali ya Moto, hakuna wa kuzuia hili, atakejitia kimbelembele ataondoka, naongea KWa ujasiri mkubwa Sana, maana najua na Ili ni dogo tu nimesema Kati ya yale ninayo
 
Natambua Ilo ,bila kujali uchaguzi utafanyika lini ila hoja hapa maandalizi na venting ya wabunge, lazima kuanza maana kibali na chata kali Sana wanayo so lini uchaguzi utafanyika iyo sio hoja, so usipende bishana na codes ambazo siri yake ni kubwa Sana, umesikia

Kama CDM wanataka kufanya vizuri sasa au huko mbeleni, inabidi Mbowe atoke kwenye cheo cha mwenyekiti, kwani kwa sasa ni kama ameshapoteza uelekeo. Na achukue cheo hicho mtu mwenye siasa ngumu ambazo CCM huziita za kiharakati. Hizi siasa zinazoitwa za kiharakati na wanaccm, ndio brand ya siasa za CDM, na watabaki na wafuasi wake iwapo watacheza kwenye formation yao.

Baada ya hapo watoe ruhusa kwa kila mtu huko matawini kuonyesha nia na ushawishi kwenye nafasi anayomudu iwapo ni udiwani, ubunge na hata urais, ili watu tuwapime. Kwenye hiyo mikutano ya hadhara wapewe nafasi ili kujenga ushawishi wao kwa umma, na uwezo wa kuja na mawazo mbadala ya kunyanyua wananchi.
 
Nashauri Mbowe aendelee kuwa mkt.

Bavicha ndo ifumuliwe na viongozi wakanda na Taifa.

JJ Mnyika Aongezewe mtu makini kusaidia mikakati.

Kuondoka MBOWE nafasi ya MKT CDM, Haina tofauti na kung'atuka Kwa NYERERE CCM.

Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo kitatekwa na KUFISHWA once and for all.

Ameeen.
 
Ninakusihi Sana ndugu yangu kuwa amka hapo ulipo lala maana naona umeandika ukiwa umetoka usingizini na bado usingizi haujakutoka, Chadema Hawa Hawa walioshindwa kujenga hata ofisi ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaotafuna michango ya wanyonge Kama mchwa ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaoshindwa hata kuandaa ilani ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaoshinda kuandaa mgombea Urais ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaosubiri mgombea Urais kutoka CCM ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanashindwa hata kujiongoza ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wasio na maono Wala dira ndio wapewe nchi?

Hiyo haiwezekani na Wala haiji kuwezekana ,Hakuna chama chenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini, Hakipo na hakijazaliwa bado, hayupo mtu wa kuitikisa CCM Wala hajazaliwa
 
Unabishana na codes zenye siri kubwa katika ulimwengu uliojaa siri kubwa za kiroho ? nijibu

Swala hapa sio chadema wakitaka kufika ,wameisha fika ndo maana ujumbe umekuja na kuwekwa wazi , na ni hatua imefikiwa KWa hatua mbali mbali za kiroho , na hakuna yoyote aitwae binadam ataweza badilisha hili, so sijui deep state, plus vyombo vingine hakuna namna lazima na sio ombi kujiandaa na mabadiliko yaliyo mbele yao , siku nikibarikiwa na kupata jukwaa lao MOJA KWa MOJA nitawaeleza mengi sana

Back
Top Bottom