Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Mtoa mada umeandika mada nzuri na fikirishi.. Umeandika ukionyesha wazi kuwa wewe si mmoja wao.. Ila ulichoandika kuhusu mambo ya rohoni wengi hawajakuelewa.. Ni wachache tuliokuelewa.. Tatizo la hawa ndugu zetu hawashauriki wala kusikia ushauri wa kutoka nje.. Lakini ukweli ni kuwa watanzania wamechoka.. Yamewafika shingoni.. Hawa tunaowaona wakombozi wetu ndio hawana habari.. Wanatupiga vijembe na kusahau kuwa kura ni siri ya mtu.. Hata kura zetu wanaCCM tusiopenda ujinga watazipata nyingi tu..

Wao wamekazania katiba mpya.. Katiba mpya isipokuja..?? Kikubwa tuungane kwa kauli moja tuwaondoe CCM.. Katiba mpya italetwa na Chadema wakiwa madarakani.. Inawezekana kuwaondoa kwa katiba hii hii.. Wananchi wahamasishwe kujitokeza siku ya uchaguzi wakapige kura.. Hii nchi sio ya kuongozwa na Rais aliyeshinda kwa kura milioni saba.. Watu hawapigi kura.. Tujitokeze kupiga kura.. CCM inaondoka..
 
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla

Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu

Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi ya upigaji KWa sasa ni kubwa mno na awa wahuni izi pesa awaweki ndani, wanaweka nje ,hivyo ni lazima kuwa na mtandao imara na wakasi kuzirudisha ,

Sina shida na Rais , makam rais, pm, au mawaziri kutoka chama chenu shida ninayoiona mpaka Sasa

Ni Kama mnachelewa Sasa kwenye venting ya wabunge kwenye majimbo , fanyeni Ili mapema , Ili watu watarajiwa waanze kupiga jaramba katika majimbo yao, nakumbu tunataka kuwe na Bunge imara Ili likasimamie Serikali yenu vizuri

Naongea hivi KWa ujasiri mkubwa maana mna kibali na chapa kali ambayo hakuna wa kuigeuza , so yale sijui deep state ,sijui nini tupa kule ,Amin nini nawambia.

Chata hii kwenye kibali chenu ni ya moto , atakae shindana nayo ataondoka tu, imetoka wapi msiulize

Niwatakie maandalizi mema ya serikali ijayo chini ya chama chenu Cha CHADEMA
Huu uzi tutaurejesha 2026.
Asante sana Mtumishi
 
Mtoa mada umeandika mada nzuri na fikirishi.. Umeandika ukionyesha wazi kuwa wewe si mmoja wao.. Ila ulichoandika kuhusu mambo ya rohoni wengi hawajakuelewa.. Ni wachache tuliokuelewa.. Tatizo la hawa ndugu zetu hawashauriki wala kusikia ushauri wa kutoka nje.. Lakini ukweli ni kuwa watanzania wamechoka.. Yamewafika shingoni.. Hawa tunaowaona wakombozi wetu ndio hawana habari.. Wanatupiga vijembe na kusahau kuwa kura ni siri ya mtu.. Hata kura zetu wanaCCM tusiopenda ujinga watazipata nyingi tu..

Wao wamekazania katiba mpya.. Katiba mpya isipokuja..?? Kikubwa tuungane kwa kauli moja tuwaondoe CCM.. Katiba mpya italetwa na Chadema wakiwa madarakani.. Inawezekana kuwaondoa kwa katiba hii hii.. Wananchi wahamasishwe kujitokeza siku ya uchaguzi wakapige kura.. Hii nchi sio ya kuongozwa na Rais aliyeshinda kwa kura milioni saba.. Watu hawapigi kura.. Tujitokeze kupiga kura.. CCM inaondoka..
Na mimi nimeeleewa kama wewe
 
Kama CDM wanataka kufanya vizuri sasa au huko mbeleni, inabidi Mbowe atoke kwenye cheo cha mwenyekiti, kwani kwa sasa ni kama ameshapoteza uelekeo. Na achukue cheo hicho mtu mwenye siasa ngumu ambazo CCM huziita za kiharakati. Hizi siasa zinazoitwa za kiharakati na wanaccm, ndio brand ya siasa za CDM, na watabaki na wafuasi wake iwapo watacheza kwenye formation yao.

Baada ya hapo watoe ruhusa kwa kila mtu huko matawini kuonyesha nia na ushawishi kwenye nafasi anayomudu iwapo ni udiwani, ubunge na hata urais, ili watu tuwapime. Kwenye hiyo mikutano ya hadhara wapewe nafasi ili kujenga ushawishi wao kwa umma, na uwezo wa kuja na mawazo mbadala ya kunyanyua wananchi.
Kwa kiasi fulani nakuelewa
 
Nashauri Mbowe aendelee kuwa mkt.

Bavicha ndo ifumuliwe na viongozi wakanda na Taifa.

JJ Mnyika Aongezewe mtu makini kusaidia mikakati.

Kuondoka MBOWE nafasi ya MKT CDM, Haina tofauti na kung'atuka Kwa NYERERE CCM.

Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo kitatekwa na KUFISHWA once and for all.

Ameeen.
Duuh kumbe?
 
Nasema tena CHADEMA ina kibali na Chata kali ya Moto, hakuna wa kuzuia hili, atakejitia kimbelembele ataondoka, naongea KWa ujasiri mkubwa Sana, maana najua na Ili ni dogo tu nimesema Kati ya yale ninayo
Mimi nakuamini maana Chadema kina historia nzito sio cha mchezo.

Kila aliyetaka kukiangusha alianguka yeye ukianza na Zito, jpm, makonda, 7baya
 
Ndo nasema CDM haipasi kuingia mtego wa kushiriki uchaguzi huu na kurudia makosa ya 2015 na 2020.

Viongozi wote, Mnyika, Lissu, Mbowe wako clear, Katiba mpya kwanza ndo uchaguzi baadae.

Vijana wa BAVICHA msizidiwe akili na Mzee wa Ubwabwa, anasisitiza kushinikiza tupate kwanza Katiba mpya ndo tuuingie uchaguzi.
🤣🤣🤣😍
 
Naona tuendelee kuwapa muda CCM, si mmeona vile CCM imeshinda kila kitu mwaka 2020 mambo yalivyobadilika? Maji na umeme mnapata bila tatizo, sioni haja ya kuongozwa na chama kingine.

Tanzania ya kijani kwa maendeleo yako.
#KaziIendelee
#AnaupigaMwingi
😅😅😅kashifa na fedheha hizi
 
Labda serikali ya mtaa wa ufipa View attachment 2401056
Nakwambia ipo siku utafuta katuni YAKO , hatuko hapa kimzaa na ushabiki usio kuwa na tija katika inchi, ni shida Sana kuwa na watu ambao mawazo hayatoki nje ya boksi,

Nyie so ndo mwamdangaya SSH kwamba biashara ni Kama kawa ,mmechelewa Sana na wakati haupo upande wenu , lipo Jambo Kama ningekutana na SSH ningemwambia ila najua kwangu Kama kabwela hawizakani
 
Sawa tutauleta mbona
Kuna Uzi nyakati nimejiunga na jf niliulizwa , ila nikasema bado , mpaka ilipofika siku kile nilimanisha ila sikuwahi hujibu tena, so jf ni kitabu kikubwa Sana ,WENDA ukaongea leo ila ipo siku utakumbushwa , respect jf
 
Kuna Mambo mengine ni siri kubwa ya kiroho,ni siri kubwa nasema thanks jesus thanks God
 
Mtoa mada umeandika mada nzuri na fikirishi.. Umeandika ukionyesha wazi kuwa wewe si mmoja wao.. Ila ulichoandika kuhusu mambo ya rohoni wengi hawajakuelewa.. Ni wachache tuliokuelewa.. Tatizo la hawa ndugu zetu hawashauriki wala kusikia ushauri wa kutoka nje.. Lakini ukweli ni kuwa watanzania wamechoka.. Yamewafika shingoni.. Hawa tunaowaona wakombozi wetu ndio hawana habari.. Wanatupiga vijembe na kusahau kuwa kura ni siri ya mtu.. Hata kura zetu wanaCCM tusiopenda ujinga watazipata nyingi tu..

Wao wamekazania katiba mpya.. Katiba mpya isipokuja..?? Kikubwa tuungane kwa kauli moja tuwaondoe CCM.. Katiba mpya italetwa na Chadema wakiwa madarakani.. Inawezekana kuwaondoa kwa katiba hii hii.. Wananchi wahamasishwe kujitokeza siku ya uchaguzi wakapige kura.. Hii nchi sio ya kuongozwa na Rais aliyeshinda kwa kura milioni saba.. Watu hawapigi kura.. Tujitokeze kupiga kura.. CCM inaondoka..
Halipo lisilowezekana chini ya jua.

Njia ya kuiondoa madarakani CCM ni:

1. kupiga kura na kuhakikisha haziibiwi, kuzilinda na kuwa tayari kumwaga Damu Ili SANDUKU la Kura lisiibwe.

2.Njia ya pili ni CCM yenyewe kukubali KUJIUA na kuruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi iliyoasisiwa na Judge WARIOBA.

3. Kugomea Uchaguzi na kushinikiza KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi vipatikane kwanza ndo tuuingie uchaguzi.
 
Back
Top Bottom