Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Nashauri Mbowe aendelee kuwa mkt.

Bavicha ndo ifumuliwe na viongozi wakanda na Taifa.

JJ Mnyika Aongezewe mtu makini kusaidia mikakati.

Kuondoka MBOWE nafasi ya MKT CDM, Haina tofauti na kung'atuka Kwa NYERERE CCM.

Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo kitatekwa na KUFISHWA once and for all.

Ameeen.

Kama alimpokea Lowassa, bado kuna kuuzwa zaidi ya hapo? Kwasasa ni muda sahihi Mbowe kupumzika, kafanya makubwa, by he seems to be running out of ideas. Na iwapo ni Mbowe tu anaweza kuwa mwenyekiti huku hakuna improvement, ujue hapo hakuna chama boss.
 
Ninakusihi Sana ndugu yangu kuwa amka hapo ulipo lala maana naona umeandika ukiwa umetoka usingizini na bado usingizi haujakutoka, Chadema Hawa Hawa walioshindwa kujenga hata ofisi ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaotafuna michango ya wanyonge Kama mchwa ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaoshindwa hata kuandaa ilani ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaoshinda kuandaa mgombea Urais ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanaosubiri mgombea Urais kutoka CCM ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wanashindwa hata kujiongoza ndio wapewe nchi? Chadema Hawa Hawa wasio na maono Wala dira ndio wapewe nchi?

Hiyo haiwezekani na Wala haiji kuwezekana ,Hakuna chama chenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini, Hakipo na hakijazaliwa bado, hayupo mtu wa kuitikisa CCM Wala hajazaliwa
Mbona Unakuja kuharibu mada tena Lucas.

Kikao Cha CCM kinaendelea Dodoma unaacha kusikia mada zenu, unakimbilia kuwajibu CDM.
 
Unabishana na codes zenye siri kubwa katika ulimwengu uliojaa siri kubwa za kiroho ? nijibu

Swala hapa sio chadema wakitaka kufika ,wameisha fika ndo maana ujumbe umekuja na kuwekwa wazi , na ni hatua imefikiwa KWa hatua mbali mbali za kiroho , na hakuna yoyote aitwae binadam ataweza badilisha hili, so sijui deep state, plus vyombo vingine hakuna namna lazima na sio ombi kujiandaa na mabadiliko yaliyo mbele yao , siku nikibarikiwa na kupata jukwaa lao MOJA KWa MOJA nitawaeleza mengi sana
Jukwaa la moja kwa moja kuliko hili boss?
 
Mbona Unakuja kuharibu mada tena Lucas.

Kikao Cha CCM kinaendelea Dodoma unaacha kusikia mada zenu, unakimbilia kuwajibu CDM.
Uyu ndugu YANGU naye, lucas, ajue Kuna Mambo ambayo yako juu ya fikra za kibinadam, WENDA anzia kwake mpaka viongozi wake, achana na wale wanawategemea, so LUCAS tekeleza ule msemo wa aliekua DC wa IRINGA, Mambo mengine ni siri kubwa za kiroho hutakiwi kuhoji, Mr lucas
 
Hatuwezi kuwaacha mkaendelea kueneza uzushi wenu hapa
Huo ni Undumila kuwili,

Kaa Kwa utulivu kwenye kikao usikilize mkt anavowapamba wale waizi wanaonunua uongozi wa wilaya na mikoa kama vile wanaonunua ngombe na mbuzi mnadani.
 
Huo ni Undumila kuwili,

Kaa Kwa utulivu kwenye kikao usikilize mkt anavowapamba wale waizi wanaonunua uongozi wa wilaya na mikoa kama vile wanaonunua ngombe na mbuzi mnadani.
Sipo kikaoni Mimi nipo nasubiri maamuzi na maazimio ya chama changu ambapo kwa Sasa Ni Kama nchi imesimama kusubiri Taarifa ya CCM, Hadi upinzani wapo bize kusubiri Taarifa ya CCM itakayo tolewa na Ndugu Shaka
 
Taarifa ipi ya kusimamisha Nchi.

Chama chakavu saiz uongozi unanunuliwa na walanguzi!!!!

Chama ni CDM, ambacho wajumbe wa Kamati kuu wanajigharimia nauli na malazi.

CCM wajumbe wanapelekwa na makundi ya walanguzi na wanaondoka na bahasha zilizotuna RUSHWA.😠😠😠😠
 
Sasa unafikiri nauli kwa wajumbe wa chadema zitatoka wapi wakati pesa zote za michango zinaliwa na viongozi wa makao makuu ya chama wanao kikamua chama Hadi kinabaki mbavu tupu, Mwenyekiti kila uchaguzi anawasilisha madeni chamani ili alipwe malipo yasiyo eleweka , chadema imebaki kama mradi wa mtu binafsi kujipatia kipato kuhudumia familia yake, jiulize pesa za join the chain zipo wapi? Zikikusanywa shilingi ngapi?
 
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla

Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu

Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi ya upigaji KWa sasa ni kubwa mno na awa wahuni izi pesa awaweki ndani, wanaweka nje ,hivyo ni lazima kuwa na mtandao imara na wakasi kuzirudisha ,

Sina shida na Rais , makam rais, pm, au mawaziri kutoka chama chenu shida ninayoiona mpaka Sasa

Ni Kama mnachelewa Sasa kwenye venting ya wabunge kwenye majimbo , fanyeni Ili mapema , Ili watu watarajiwa waanze kupiga jaramba katika majimbo yao, nakumbu tunataka kuwe na Bunge imara Ili likasimamie Serikali yenu vizuri

Naongea hivi KWa ujasiri mkubwa maana mna kibali na chapa kali ambayo hakuna wa kuigeuza , so yale sijui deep state ,sijui nini tupa kule ,Amin nini nawambia.

Chata hii kwenye kibali chenu ni ya moto , atakae shindana nayo ataondoka tu, imetoka wapi msiulize

Niwatakie maandalizi mema ya serikali ijayo chini ya chama chenu Cha CHADEMA
Chadema hii ya 'viwete' wa akili?? Afadhali makonda agombee urais tu...
 
Sasa unafikiri nauli kwa wajumbe wa chadema zitatoka wapi wakati pesa zote za michango zinaliwa na viongozi wa makao makuu ya chama wanao kikamua chama Hadi kinabaki mbavu tupu, Mwenyekiti kila uchaguzi anawasilisha madeni chamani ili alipwe malipo yasiyo eleweka , chadema imebaki kama mradi wa mtu binafsi kujipatia kipato kuhudumia familia yake, jiulize pesa za join the chain zipo wapi? Zikikusanywa shilingi ngapi?
Anachowakaririsha Shakasa wote mnatiririka hivi Ivo kama manyumbu.
 
Kama alimpokea Lowassa, bado kuna kuuzwa zaidi ya hapo? Kwasasa ni muda sahihi Mbowe kupumzika, kafanya makubwa, by he seems to be running out of ideas. Na iwapo ni Mbowe tu anaweza kuwa mwenyekiti huku hakuna improvement, ujue hapo hakuna chama boss.
Mbowe hatapumzika mpaka pale Mungu atanena vinginevyo, Mbowe ni Kati ya watu wanahitajika Sana kwenye Serikali yao ijayo ya CHADEMA codes za Mungu haziitaji upambe tulia mpaka mda huu CHADEMA Wana kibali na Chata yao , najua hizi serikali Zina kila dawati za ufundi na sio mchezo, ila habari ziwafikie kwamba Chata ya moto ya CHADEMA sio ya kawaida wambie wachange karata watakutana na hili nasema , hii ni nguvu itokayo pale ambapo hata shetani mkuu anapaogoba ,acheni mchezo
 
Sio ya mtaa wa viwavi Kijani😄
Potezeni mda wakati kumeisha kucha mtakumbuka Sana , lini naondoka dunia hii najua, Sasa wewe unaejua kesho bata nikale wapi utashindana na mteule, Kama utani ila ipo siku mtajua hamjui
 
Mbowe hatapumzika mpaka pale Mungu atanena vinginevyo, Mbowe ni Kati ya watu wanahitajika Sana kwenye Serikali yao ijayo ya CHADEMA codes za Mungu haziitaji upambe tulia mpaka mda huu CHADEMA Wana kibali na Chata yao , najua hizi serikali Zina kila dawati za ufundi na sio mchezo, ila habari ziwafikie kwamba Chata ya moto ya CHADEMA sio ya kawaida wambie wachange karata watakutana na hili nasema , hii ni nguvu itokayo pale ambapo hata shetani mkuu anapaogoba ,acheni mchezo

Sio lazima aache siasa, cheo cha mwenyekiti kimemshinda period. Hizo nyingine ni story za alfu Lela ulela.
 
Haya Mambo ni kubwa sana ,wenda uko sahii kimwili ,ila haiwezekani ,hutaki kubali sawa ni haki YAKO toa mawazo

Back
Top Bottom