Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Mtoa mada umeandika mada nzuri na fikirishi.. Umeandika ukionyesha wazi kuwa wewe si mmoja wao.. Ila ulichoandika kuhusu mambo ya rohoni wengi hawajakuelewa.. Ni wachache tuliokuelewa.. Tatizo la hawa ndugu zetu hawashauriki wala kusikia ushauri wa kutoka nje.. Lakini ukweli ni kuwa watanzania wamechoka.. Yamewafika shingoni.. Hawa tunaowaona wakombozi wetu ndio hawana habari.. Wanatupiga vijembe na kusahau kuwa kura ni siri ya mtu.. Hata kura zetu wanaCCM tusiopenda ujinga watazipata nyingi tu..

Wao wamekazania katiba mpya.. Katiba mpya isipokuja..?? Kikubwa tuungane kwa kauli moja tuwaondoe CCM.. Katiba mpya italetwa na Chadema wakiwa madarakani.. Inawezekana kuwaondoa kwa katiba hii hii.. Wananchi wahamasishwe kujitokeza siku ya uchaguzi wakapige kura.. Hii nchi sio ya kuongozwa na Rais aliyeshinda kwa kura milioni saba.. Watu hawapigi kura.. Tujitokeze kupiga kura.. CCM inaondoka..
 
Huu uzi tutaurejesha 2026.
Asante sana Mtumishi
 
Na mimi nimeeleewa kama wewe
 
Kwa kiasi fulani nakuelewa
 
Duuh kumbe?
 
Nasema tena CHADEMA ina kibali na Chata kali ya Moto, hakuna wa kuzuia hili, atakejitia kimbelembele ataondoka, naongea KWa ujasiri mkubwa Sana, maana najua na Ili ni dogo tu nimesema Kati ya yale ninayo
Mimi nakuamini maana Chadema kina historia nzito sio cha mchezo.

Kila aliyetaka kukiangusha alianguka yeye ukianza na Zito, jpm, makonda, 7baya
 
🤣🤣🤣😍
 
😅😅😅kashifa na fedheha hizi
 
Labda serikali ya mtaa wa ufipa View attachment 2401056
Nakwambia ipo siku utafuta katuni YAKO , hatuko hapa kimzaa na ushabiki usio kuwa na tija katika inchi, ni shida Sana kuwa na watu ambao mawazo hayatoki nje ya boksi,

Nyie so ndo mwamdangaya SSH kwamba biashara ni Kama kawa ,mmechelewa Sana na wakati haupo upande wenu , lipo Jambo Kama ningekutana na SSH ningemwambia ila najua kwangu Kama kabwela hawizakani
 
Sawa tutauleta mbona
Kuna Uzi nyakati nimejiunga na jf niliulizwa , ila nikasema bado , mpaka ilipofika siku kile nilimanisha ila sikuwahi hujibu tena, so jf ni kitabu kikubwa Sana ,WENDA ukaongea leo ila ipo siku utakumbushwa , respect jf
 
Kuna Mambo mengine ni siri kubwa ya kiroho,ni siri kubwa nasema thanks jesus thanks God
 
Halipo lisilowezekana chini ya jua.

Njia ya kuiondoa madarakani CCM ni:

1. kupiga kura na kuhakikisha haziibiwi, kuzilinda na kuwa tayari kumwaga Damu Ili SANDUKU la Kura lisiibwe.

2.Njia ya pili ni CCM yenyewe kukubali KUJIUA na kuruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi iliyoasisiwa na Judge WARIOBA.

3. Kugomea Uchaguzi na kushinikiza KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi vipatikane kwanza ndo tuuingie uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…