Uchaguzi 2020 CHADEMA mmekosa fikra chanya za kisiasa na mmekosa mwelekeo thabiti wa kisiasa

Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.

Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka kidedea ili aingie kwenye tatu bora kisha kamati za siasa za CCM za wilaya, mikoa na kisha halmashauri kuu kuchagua jina moja ambalo linafaa kwa ajili ya kugombea kiti cha ubunge.

Kwa jana watu wengi masikio na macho yao yalikuwa kwenye matokeo ya jimbo la Kigamboni na huko mshindi wa kwanza ni Dk Ndugulile na wa Pili ni Paul Makonda...
Chadema watakapoanza ndio utajua hujui watakapotokea kuanzia msajili hadi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi + washirika wote wa Shetani
 
Kilombero,
Aboubakar Assenga amepata kura 368... Peter Lijualikali amepata kura 04 (moja, mbili, tatu, nne). Kimsingi baada ya kukabidhiwa kura zake, aliondoka ukumbini akimuacha wakala wake.

Kazi ya kumtukana Mbowe na Chadema haikumlipa. Amepigwa spana nzito Kilombero.
 
Kilombero,
Aboubakar Assenga amepata kura 368... Peter Lijualikali amepata kura 04 (moja, mbili, tatu, nne)..
Kimsingi baada ya kukabidhiwa kura zake, aliondoka ukumbini akimuacha wakala wake.
Kazi ya kumtukana Mbowe na Chadema haikumlipa. Amepigwa spana nzito Kilombero.
Atapewa kazi nyingine na Ccm
 
Ulitaka watu wahuzunike kisa makonda ameshindwa, usitupangie maisha
Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.

Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka kidedea ili aingie kwenye tatu bora kisha kamati za siasa za CCM za wilaya, mikoa na kisha halmashauri kuu kuchagua jina moja ambalo linafaa kwa ajili ya kugombea kiti cha ubunge.

Kwa jana watu wengi masikio na macho yao yalikuwa kwenye matokeo ya jimbo la Kigamboni na huko mshindi wa kwanza ni Dk Ndugulile na wa Pili ni Paul Makonda...
 
Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.

Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka kidedea ili aingie kwenye tatu bora kisha kamati za siasa za CCM za wilaya, mikoa na kisha halmashauri kuu kuchagua jina moja ambalo linafaa kwa ajili ya kugombea kiti cha ubunge...
Hata wewe unawafuatilia chadema ndo maana unajua nn wanafanya.. asingekuwa unawafuatilia usingejua Kama wanashangilia makonda kuangushwa...acha na sisi bhana
 
Kuingia tatu bora ndio kuangushwa? Mchakato bado. Nafuatilia Chadema ila nina positive thinking.
 
Hv nyie majitu ya ccm huwa mnawaza nn, Kama kungekuwa zawadi zinatolewa je mshindi wa kwanza angepata zawadi sawa na mshindi wa Tatu?? Wa kwanza ni was kwanza tu
 
We unafikiri kwa kutumia makamasi. CCM sio chama cha hovyo hovyo kama Chadema. Kamati za siasa lazima zitoe mapendekezo ya kila jina juu ya uadilifu wake na namna anavyokubalika na wananchi. Maana sio wana Ccm wote wanaopiga kura kupitisha majina.
 
Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.

Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka kidedea ili aingie kwenye tatu bora kisha kamati za siasa za CCM za wilaya, mikoa na kisha halmashauri kuu kuchagua jina moja ambalo linafaa kwa ajili ya kugombea kiti cha ubunge...
Ya CCM yanatuhusu sana maana kuna wasaliti wetu walikuwa huko. Tulitaka kuona mwisho wao kisiasa unavyofikia
 
Tangu uanze kuweweseka yakaribia mwaka.
Ungekuwa na busara ungepause japo kidogo upate muda wa kujifanyia tathmin binafsi.
Maneno yaleyale, ngonjera zilezile, kujiliza vilevile; hata Lijualikali keshaacha baada ya kuona waliokuwa wa kumsikiliza hawapo tena. AMEN
Sasa we umesikiliza nini? Maana naona sindano imekuingia na October ipo karibu.
 
Back
Top Bottom