Uchaguzi 2020 CHADEMA mmekosa fikra chanya za kisiasa na mmekosa mwelekeo thabiti wa kisiasa

Chadema watakapoanza ndio utajua hujui watakapotokea kuanzia msajili hadi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi + washirika wote wa Shetani
 
Kilombero,
Aboubakar Assenga amepata kura 368... Peter Lijualikali amepata kura 04 (moja, mbili, tatu, nne). Kimsingi baada ya kukabidhiwa kura zake, aliondoka ukumbini akimuacha wakala wake.

Kazi ya kumtukana Mbowe na Chadema haikumlipa. Amepigwa spana nzito Kilombero.
 
Atapewa kazi nyingine na Ccm
 
Yaani CCM wakimpitisha Bashite tu wajue jimbo linaenda Upinzani wajiandae
 
Ulitaka watu wahuzunike kisa makonda ameshindwa, usitupangie maisha
 
Hata wewe unawafuatilia chadema ndo maana unajua nn wanafanya.. asingekuwa unawafuatilia usingejua Kama wanashangilia makonda kuangushwa...acha na sisi bhana
 
Hata wewe unawafuatilia chadema ndo maana unajua nn wanafanya.. asingekuwa unawafuatilia usingejua Kama wanashangilia makonda kuangushwa...acha na sisi bhana
Kuingia tatu bora ndio kuangushwa? Mchakato bado. Nafuatilia Chadema ila nina positive thinking.
 
Kuingia tatu bora ndio kuangushwa? Mchakato bado. Nafuatilia Chadema ila nina positive thinking.
Hv nyie majitu ya ccm huwa mnawaza nn, Kama kungekuwa zawadi zinatolewa je mshindi wa kwanza angepata zawadi sawa na mshindi wa Tatu?? Wa kwanza ni was kwanza tu
 
Hv nyie majitu ya ccm huwa mnawaza nn, Kama kungekuwa zawadi zinatolewa je mshindi wa kwanza angepata zawadi sawa na mshindi wa Tatu?? Wa kwanza ni was kwanza tu
We unafikiri kwa kutumia makamasi. CCM sio chama cha hovyo hovyo kama Chadema. Kamati za siasa lazima zitoe mapendekezo ya kila jina juu ya uadilifu wake na namna anavyokubalika na wananchi. Maana sio wana Ccm wote wanaopiga kura kupitisha majina.
 
Ya CCM yanatuhusu sana maana kuna wasaliti wetu walikuwa huko. Tulitaka kuona mwisho wao kisiasa unavyofikia
 
Sasa we umesikiliza nini? Maana naona sindano imekuingia na October ipo karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…