Uchaguzi 2020 CHADEMA mmekosa fikra chanya za kisiasa na mmekosa mwelekeo thabiti wa kisiasa

CHADEMA inawakosesha usingizi kabisa.
 
Hamko kimya,leo usiku kucha ni kelele za kufurahi Makonda kushika nafasi ya pili. Badala ya kushughulika na chama chemu.
Mimi sina chama na sijui hata kura inapigwa vipi lkni nimefurahi kukatwa kwa makonda.
Sikila anaefurahia jambo au kuchukia ni chadema.
 
unahangaika sana na hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…