Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sukuma gang naona mnalia kilio cha samaki hakuna anaye wajali.Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.