Sukuma gang naona mnalia kilio cha samaki hakuna anaye wajali.Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Tatizo ubongo wake ndiyo unao mtuma.Sio lazima kuanzisha Uzi,kama huna la maana kuwa msomaji tu!
Cdm kwa sasa ndiyo chama bora kabisa cha upinzani wa kweli hapa nchini.Yaani Chadema pamoja na kupoteza huo mtaji wa kisiasa bado unawazungumzia na kuwataja bdala ya kuwataja chauma. Kweli Chadema wamewashika mbupu akina ndugai
Huo ndiyo mtaji mkubwa sana wa ccm kwa sasa na bila hivyo tungekuwa tumeaha isahau kitamboNi kweli. Tumewaachia TLP, UDP, TADEA, ACT, CUF na NCCR wenye matumaini makubwa.
Na CCM matumaini yao makubwa ni haya hapa:
View attachment 2077391
Ni mwehu tu ndio anaweza kuwaza kama weweMtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Watoeni jela tuongee vizuri. Acheni mipambano ya kike. Kwani ni lini mbowe alikuwa ukoo mmoja na Osama.Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Huwa nikiona mtu ameandika uzi title ndeeeeefu kuliko content nafahamu mara moja tunadili na mjingaMtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Napingana pakubwa sana na wewe japo nianze kwa kujitmbulisha kama mchangiaji huru asiye na chama, kwa yanayoendelea na yatakayojiri mpaka tunafika 2025 ndio tutajua kama hawa watu wamepotezana au vinginevyo, lakini sio sasa.Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Kweli kabsaaaaaa.Yaani hakuna kitu tena.Chadema kwishney na Mbowe akila mvua 30 ndio kabsaaa.Tutabaki wenyeweeeeeMtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.