CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Hakika wenye akili watakuunga mkono. Kazi nzuri
 
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Mbaya zaidi wale Vijana wamedhulumiwa pesa zao za perdiem na mabwana zao. Unamsafirisha mtoto WA mwenzio kutoka mkoani na humpi hata mia? Ushenzi mtupu
 
Serikali imetumia billion 23, kupambana na maandamano ya amani,ila chadema imesikika nchi nzima .
Kauli mbiu ya 2025, SSH MUST GO!
UJUMBE HUU,UMEFIKA HADI RUVUMA ALIKO LEO.
 
Hahahaha na hawajalipwa hata mia wale Vijana wa watu, nimepita Ubungo Wanapiga miayo na chafya kwa njaa na uchafu
 
Askari walioletwa Dar sidhani kama watalipwa Perdiem zao...Mmoja knang'atwa na mbwa.
 
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
yeah hata mm naona wafanye hvohvo!ikifika huo muda wahairishee!halafu watangaze tena kuwa ijumaa watafanya!polisi wakimbizane tena barabarani halafu ikifika muda fulani wahairishe!hahaha
 
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Njoo tuungane huku tunakusubili.
 
Serikali imetumia billion 23, kupambana na maandamano ya amani,ila chadema imesikika nchi nzima .
Kauli mbiu ya 2025, SSH MUST GO!
UJUMBE HUU,UMEFIKA HADI RUVUMA ALIKO LEO.
Makamanda(CHADEMA) wameshinda kwa kishindo. Big up CHADEMA.
 
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Yes, wauaji waandamane na silaha zao wenyewe😂🤣
 
Back
Top Bottom