johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo sio operesheni, tatizo ni taratibu, sheria za nchi zimeweka wazi when and where askari atumie nguvu. Kwenye hili walichemsha hakuna kuteteanaKwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Tundu Lisu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak ππ
stupid alisema mamaKwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Tundu Lisu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak ππ
Mahakama gani?Chadema wameshafunga mjadala wa Awadh, kinachofuata Mahakama ndiyo itatoa mwongozo hayo maoni ya walevi wa visungura hayana nafasi tena.
Utajua kesi ikishafunguliwa.Mahakama gani?
Chupid !!Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.
Soma Pia:
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia
- wakamatwa
- Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak ππ
Kuna siku mtaongea Lugha nyingine endeleeni kuwapiga Chadema eendeleeni kuwakebehiKwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.
Soma Pia:
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia
- wakamatwa
- Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak ππ
Hayapo hata kisheriaMambo ya kudundana yamepitwa na wakati hayafai
Sahihi kabisaChadema wameshafunga mjadala wa Awadh, kinachofuata Mahakama ndiyo itatoa mwongozo hayo maoni ya walevi wa visungura hayana nafasi tena.
Wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana. Hapa ndipo huwa nampa sifa sana Lowasa; 1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu. Unapoandika lazima ujue jeshi linamtumikia nani, jeshi linatumwa kufanya operation, siyo kuamua wenyewe tu. Amiri Jeshi mkuu ndiyo anatuma. Jeshi haliruhusiwi kupiga watu kama hao watu hawana ubishi siyo kazi yao. WEwe upo Banana Republic na Elimu yako ya Highland na urefu uliotembea duniani ni Iringa Kwenda Dar; inabidi uwe unajibidisha kujisomea na kusafiri uone dunia; wajima nyie!Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT