johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.
Soma Pia:
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak 😀😀

- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia
- wakamatwa
- Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu
Tii Sheria Bila Shuruti
Jumaa Mubarak 😀😀