CHADEMA mnaelewa maana ya " Operesheni"? Afande Awadh alikuwa kwenye Operesheni ya kuzuia mkusanyiko wa CHADEMA pale hakunaga kubembelezana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT

Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita

Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.

Soma Pia:

Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo

Tii Sheria Bila Shuruti

Jumaa Mubarak 😀😀
 
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Tundu Lisu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT

Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako

Tatizo sio operesheni, tatizo ni taratibu, sheria za nchi zimeweka wazi when and where askari atumie nguvu. Kwenye hili walichemsha hakuna kuteteana
 
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Tundu Lisu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT

Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita

Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako

Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo

Tii Sheria Bila Shuruti

Jumaa Mubarak 😀😀
stupid alisema mama
 
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT

Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita

Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.

Soma Pia:
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo

Tii Sheria Bila Shuruti

Jumaa Mubarak 😀😀
Chupid !!
 
Kuna siku mtaongea Lugha nyingine endeleeni kuwapiga Chadema eendeleeni kuwakebehi
Wenye upeo huku Dunia wanaiona Kesho....eendeleeni kucheza MDUNDIKO......mihimili inaangushwa inatandikwa.....
 
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT

Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita

Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana yake unalilazimisha Jeshi kuandaa Operesheni ya kuzuia usifanye jambo lako.

Soma Pia:
Operesheni yoyote ya Kijeshi hainaga kubembelezana kwa sababu kusudio linakuwaga ni Moja tu na si vinginevyo

Tii Sheria Bila Shuruti

Jumaa Mubarak 😀😀
Wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana. Hapa ndipo huwa nampa sifa sana Lowasa; 1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu. Unapoandika lazima ujue jeshi linamtumikia nani, jeshi linatumwa kufanya operation, siyo kuamua wenyewe tu. Amiri Jeshi mkuu ndiyo anatuma. Jeshi haliruhusiwi kupiga watu kama hao watu hawana ubishi siyo kazi yao. WEwe upo Banana Republic na Elimu yako ya Highland na urefu uliotembea duniani ni Iringa Kwenda Dar; inabidi uwe unajibidisha kujisomea na kusafiri uone dunia; wajima nyie!
 
Back
Top Bottom