CHADEMA mnaendelea kupotosha kuhusu suala la Ngorongoro, ila mtafeli kama mlivyofeli la bandari

Hujitambui, bandari haikuwa sahihi, utakuwa kundi la zembwela,baba levo,stivu nyerere
 
Nenda Gaza utapata jibu 😄
 
Kuna Wanaccm Wanataka Uchaguzi wa mapema, ndio unaona chokochoko zote hizo 🐼
 
Twende tujikite kwenye mantiki na hoja,wewe unataka wale wamasai waendelee kuachwa wakizaliana wao na mifugo yao hadi lini??umeshawahi kufika kwanza eneo la tukio ukajionea hali halisi ya kinachoendelea kule au mnafuata mkumbo tuh??
Kuna watu akiguswa mwarabu wanahisi umeguswa uilslamu. Ndugu ktk imaninhivyo lazima utetezi uwe mwingi
 
CHadema wanafanya kila ajenda ili waingie ikulu
 
Kuna watu akiguswa mwarabu wanahisi umeguswa uilslamu. Ndugu ktk imaninhivyo lazima utetezi uwe mwingi
Huko ni kukosa hoja kama jamaa zako chadema,wapo waarabu wengi tuh ambao ni makafiri...mimi nimtetee mwarabu kwa lipi??

Who is mwarabu to me??wewe tuh na fikra zako
 
Hujitambui, bandari haikuwa sahihi, utakuwa kundi la zembwela,baba levo,stivu nyerere
Bandari haikuwa sahihi,thats according to you...

Na katika kuleta maendeleo hatuwezi kukaa kusubiri kila mtu akubali au akatae,hiyo itakuwa siyo nchi sasa.
 
.......Sasa, wewe The big Show ni nani Mwanasiasa Uchwara? Kwangu Mimi wewe The big show ndiyo hasaa Mwanasiasa Uchwara.

Kwanini nasema hivi?

Kwangu Mimi mtu yeyote asiye jitambua kwanza namuona ni kama anaye tumika au aliye fika Bei.

Wakati wa Gesi inatoka au haitoki, kule Mtwara, wewe ulikuwa upande wa wananchi wa kusini na ulikuwa unalaani serikali ya Jakaya Kikwete kuwa imekiuka ahadi yake yenyewe kwamba mambo yote kuhusu gesi ya kule Deep sea Mtwara, yatafanyika Mtwara na kwamba ilitarajiwa kuwa Mtwara itakuwa Hub ya maendeleo ya kusasa kutokana na uchumi wa Gesi.

Msimami wako ulishabihiana na Mheshimiwa Lema. Ghafla miaka ya hivi karibuni unatetea chochote kinacho fanywa na serikali hata kama serikali imekosea pakubwa.

Msimami wa Lema haujawahi kubadilika.

Wakati wa sakata wewe ulikuwa upande wa Samia na kwamba kubinafsisha bandari zote za Tanganyika kwako wewe ilikuwa sawa tu. Lema alisema hapana.

Leo unaona kuhamishwa wamasai zaidi ya laki Moja ili waarabu wachache wapewe ardhi Ile wewe unaona sawa tu.

Kwangu Mimi, wewe ni takataka na una akili ya ajabu sana.
 
Ngorongoro wangekuwa wanafurushwa bila kulipwa fidia na stahiki zinginezo ningeelewa kinyume na hapo ni siasa za kiki za Machadema
Kitima sio CHADEMA
Mwamalanga sio CHADEMA
Shivji sio CHADEMA
 
Ilitoka,na sisi tunanufaika nayo pia,we ukitaka kusemaje kwani?

Hapana umenikumusha harakati zako za kuzuia gesi isitoke mtwara....jibu ulilotoa limeenda against ulichokuwa unakipigania awali hata na hili unaweza siku zijazo ukabadilika kimtazamo.
 
Issue ya Gesi Mtwara,sisi tulikuwa tuna hoja zetu sisi kama sisi wananchi wa mtwara.

Na so far sisi kwa kias flan tulishafanikiwa,kuja kwa mwekezaji kama Dangote ilikuwa ni miongoni mwa hoja zetu,wawekezaji waje na sisi tunufaike kwa ajira na kukua kwa uchumi.

Kuhamishwa kwa wamasai ni kwa maslahi ya taifa kama yalivyo kawa issue ya gesi,so chochote chenye maslahi ya Taifa sisi tutasimama na kuunga mkono.
 
Hapana umenikumusha harakati zako za kuzuia gesi isitoke mtwara....jibu ulilotoa limeenda against ulichokuwa unakipigania awali hata na hili unaweza siku zijazo ukabadilika kimtazamo.
Harakati zetu hazikuwa kuzuiwa gesi isitoke,harakati zilikuwa ni kuuliza sisi tunapata nini??tunaachwaje baada ya gesi kuanza kutoka.
 
Said alishakuwa ni jambazi....

Ana "legitimate" gani ya kushauri mambo mtambuka ya kiutu na kibinaadamu?!! [emoji44][emoji1787]

#Ngorongoro ni mali ya watanzania [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Udini huo....

Ukristo sio kabila...

Ubudha sio kabila..

Uislamu sio kabila...

Wewe jamaa umekula "maharagwe" ya wapi ?!! [emoji44][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Poyoyo kama poyoyo katika ubora wa upoyoyo wako!

Wamasai sio mahanithi waache kuzaliana. Fahamu kwamba kuzaliana ni haki ya kiasili na ya msingi pia.

CCM imeshindwa kuongoza nchi imeamua kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. Tunasema na kuwaambia basi IMETOSHA.

Uhanithi wenu endeleeni na waarabu wenu huko msituchafulie na kunajisi ardhi na rasilimali zetu.

Kuhusu bandari DP world mnajidanganya, tuna wazoom tu! Endelea na upumbavu wenu na CCM wenzako

Tunasubiri muda mzuri wa kuichinja na kuizika CCM futi mia moja chini, safari hii sio kwa sanduku la kura, subiri muone hamtaamini macho yenu kwa kinachokwenda kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…