Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na kinachoendelea ngorongoro.
Lema anasema kwamba,Serikali inakosa mantiki katika kuwaondoa wamasai huku ikiendelea na kutoa vibali vya ujenzi wa hoteli mbali mbali za kitalii ambazo hizo ndizo zitakuwa kinara wa kuharibu ecologia na kuleta pollution kwenye hifadhi na kuathiri wanyama pori.
Well,Ifikie wakati hawa wanasiasa uchwara waache kujitoa ufahamu na kudhihirisha ujinga na upumbavu wao wazi wazi namna hii.
Suala la Ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya mbuga halifanyiki kiholela tuh bila mpangilio maalum,ni suala la kitaalam na siyo mbuga za Tanzania tuh eti ndiyo pekee zinajihusisha na suala la kujenga hoteli na kudesign utalii wa aina hiyo,yeye Lema na CHADEMA wanajua fika kuwa suala hilo linafanyika kote duniani na kila aina ya tahadhari inachukuliwa,na siyo kila mtu tuh atapewa ruhusa ya kujenga kwa kuwa tuh ana mtaji wa kufanya hivyo,kuna study kadhaa zimeshafanyika na kuangalia sustainability ya jambo hilo kwa kuzingatia uhifadhi na maendeleo yake kwa ujumla.
Wamasai ni Jamii ambayo imeendelea kuongezeka na kuzaliana miaka na miaka,na itaendelea kuzaliana hifadhini wao pamoja na mifugo yao.
Ni Jambo ambalo liko wazi tuh kuwa kutokana na kuendelea kwao kuzaliana wao na wanyama obviously population yao itazidi kuongezeka na kupelekea kuathiri maisha na uhai wa hifadhi na wanyama wale kwa maslahi ya kizazi cha sasa na cha baadae.
Sasa,kuna kosa gani kwa serikali inapochukua hatua za makusudi katika kunusuru hali hiyo??wao CHADEMA na wanaharakati uchwara wanataka Serikali ikae kusubiri hadi lini kunusuru hali hiyo kwa mbuga zetu??
Wanakuja na siasa za kishamba eti ooh wamasai wanaondolewa ili mbuga wauziwe waarabu,ujinga ule ule waliokaja nao kwa kusema Bandari imeuzwa kwa waarabu ili mradi tuh kujenga taharuki na kukwamisha mambo ya msingi kuendelea.
Even kipindi cha Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere kule Rufiji eti kwa kigezo cha kuharibu mazingira ila hivi sasa wao wenyewe wamekaa kimya na kuishiwa maneno.
CHADEMA na wanaharakati uchwara yanapokuja mambo ya msingi ya kitaifa kama mnapinga basi mje na hoja za maana na zinazoeleweka na siyo mnakuwa kama watu ambao hamna akili timamu.
Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Bandari.
ila kuna watu nchi hii ni wapuuz , hukuona yale MApendekezo ya ccmu waliyokuwa wanayapigia chapuo ? hujui kuwa mkataba uliosainiwa ni kwa jitihada za chadema , viongoz wa dini na wanazuon mbali mbali bila hivyo walikuwa wanasaini yale mapendekezo yao yasiyotaja kikomo na hata bungeni waliyapitisha yale mapendekezo , bunge halikiona kuwa yale mapendekezo yalikuwa yanagusa all economic zones na sio bandari tu pia hakukuwepo na ukomo ya mkataba ila hao unawaona wabaya ndo walikuokoa wewe g@y wa mbagala unaejuwa kupewa kofia na jez kukata mauno majukwan wenzio wanapea mabilioni na DP world , wanaiba 42B ambayo ww ukipewa 1B huez imaliza maisha yako yote hata ukiwa unakula kwa 100k kwa siku .
Wajinga kama ww ndo mtaji wa ccmu , hufuatilii nje ya propaganda za ccmu , ccmu wanakwambia chadema wanapinga uwekezaj kana kwamba maswala ya ukwekezaj wanawekaga meza moja na chadema ili wapate ruhusa kumbe ni bunge lao lilijaa ccmu 90% wabunge hawa hawa wanajua kukubali kila kinacholeta bungeni bila kuhoji mapunguf kurekebishwa .
Leo jinga jinga kama ww urudi kudai chadema wanapotosha , je bbc nao wanapotosha walioonesha matumiz ya nguvu kuwaamisha watu ngorongoro?
Je nchi yenu inapeleka wap kodi zake mpk washindwe hata zitunza hifadhi ?
Bandaru unataka usaidiz ?
usafi wa miji usaidiz ?
Maji usaidiz ?
Umeme kabisa hawawez , napo pia ipo siku wataitaji usaidiz
Hawa viongoz wa wizara na makatibu wao wanafaida gan ? cheo kimoja tunalipa watu wawili mishahara wanashindwa kuwa na mipango thabiti ya kuiendeleza bila kufukuza wamasai kama walivyofanya Namibia na South africa kuendeleza jangwa lao la karahal bila kuwaathiri busmen ambao ni kivutip cha utalii kwa wageni .
Ifike wakati mjuwe ccmu itaondoka ila makosa yake yatabakia kuathiri vizaz na vizaz , Tuache kukwepesha ukwel maana athari za ujinga wa ccmu zitawaathiri watoto wetu kipindi hicho hawatakuwa wanaijuwa chadema wala Nccr wala Cuf
Makosa ya babu zetu kwa kutoungana na Akina Abushiri , Mirambo na Mkwawa , Kinjekitile kuwakabili wazungu , haya makosa yametutia doa kwa zaid ya miaka 100 sasa , tunatoka kwenye doa moja tunajitengenezea doa jingine la zaid ya miaka 100 mingine yaan vizaz vyetu vitatu mbele
USIJALI TUMBO LAKO MAANA BILA CCMU UNAEZA ISHI NA UKAACHA MAZINGIRA SALAMA KWA VIZAZ VYAKO VINGI MBELE ILA ULAJI HUU WA CCMU KUKUZIMA MDOMO USIKEMEE
*RUSHWA
*UTEKAJI
*MAUAJI YA WAKOSOAJI
*UBAMBIKIZIWA KESI WA WAKOSOAJI
* KUTOWAJIBIKA VIONGOZ TULIOWAPA DHAMANA
*WIZI KWENYE MIRADI YA UMMA
- AJIRA ZA KUJUANA
- MATUMIZI MABOVU YA KODI ZA WANANCHI , UNACHANGIA 25M KWENYE MASHINDANO YA QURAN PIA UNALIPIA 5M KWA KILA GOLI LA TIMU ZETU ZA NDANI PIA UNAWEKEZA KWENYE KUWEKA MABANGO BARABARANI KULIKO KUWAJIBIKA KWENYE KUTOA HUDUMA ZA KIJAMII , HII 25M INATOSHA KUBORESHA SHULE MOJA YA MSINGI EITHER MADAWATI AU VIFAA VYA KUFUNDISHIA
- UGAWANAJI WA MALI ZA UMMA , SASA HV VIWANJA VYA MPIRA CCMU IMEVIPORA VYOTE NA KUJIBINAFSISHA , MASOKO WAMEPEANA VIONGOZ MF SOKO LA TGT KWA NDEV , PIA STEND ZA DALADALA MF MBAGAL , TEGETA NYUK
- KUWEKEZA NGUVU NYING JIJI MOJA NA KUTEEKEZA NCHI NZIMA , KODI ZINAKUSANYWA KUTOKEA MIGONI YA MIKOANI , VIWANDA VYA MIKOANI MF MKOA WA PWANI , MBUGA NA HIFADHI ZA MIKOANI , MISITU YA MIKOANI MF MISITU YA MBAO YA IRINGA , NJOMBE NA MBEYA ILA PESA ZAO ZINAKUJA KUJENGA DAR ES SALAM HUKU WENYE MALI ZAO WAKIBAKIA KUISHI BILA HUDUMA ZA KIJAMII KWA KRB 65% YA MIKOA YAO ILA LIPO ZUMBUKUKUU LITABAKIA KUSHABIKIA CCMU
HAYA YOTE YAMEFANYWA NA CCMU NA BADO WANAENDELEA KUFANYA MENGI ILA WAJINGA WALIPEWA TSHIRT NA KOFIA NA BUKU 20 NA LIFT YA COASTER MNASAHAU NA KUWAOBA CCMU WAKOMBOZ WENU WKT HZ NI KODI ZENU , NA MKICHELEWA KUWARUDISHIA HELA WALIZOWAPA KWENYE KAMPEN , WANAPANDISHA BEI ZA VITU MAKUSUDI MAANA WAO NDO WAMILIKI WA KILA NYANJA WAMEJIFICHA NYUMA YA MATAJIRI
AMKA MWAKA 2024 USIWE NA MITIZAMO YA 1885 KATAA KUWA COLLABORATOR WA UHARIBIFU WA NCHI YAKO