ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hayo ni mawazo Yako, Serikali haigawi pesa Bali inafanya masuala ya Jumla Kwa maendeleo ya watu.Pesa inaenda Kwa maafisa wa juu hamna pesa itayoenda Kwa wananchi hapo unafikili sisi ni wageni wa hii nchi mzee wewe kama umepewa hela kula ila sio Kila kitu uonekane umechangia
Hamna vitu ilivyofanya zaidi ya kula hela serikali imefanya vitu Gani mzee acha habari zako nakuonaga Kila siku unabwabwaja humuHayo ni mawazo Yako, Serikali haigawi pesa Bali inafanya masuala ya Jumla Kwa maendeleo ya watu.
Masia wahamie ,Nchi hii ni kubwa Ina mapori waende huko
Upuuzi huu Sasa unaongeaHamna vitu ilivyofanya zaidi ya kula hela serikali imefanya vitu Gani mzee acha habari zako nakuonaga Kila siku unabwabwaja humu
actually,Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na kinachoendelea ngorongoro.
Lema anasema kwamba,Serikali inakosa mantiki katika kuwaondoa wamasai huku ikiendelea na kutoa vibali vya ujenzi wa hoteli mbali mbali za kitalii ambazo hizo ndizo zitakuwa kinara wa kuharibu ecologia na kuleta pollution kwenye hifadhi na kuathiri wanyama pori.
Well,Ifikie wakati hawa wanasiasa uchwara waache kujitoa ufahamu na kudhihirisha ujinga na upumbavu wao wazi wazi namna hii.
Suala la Ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya mbuga halifanyiki kiholela tuh bila mpangilio maalum,ni suala la kitaalam na siyo mbuga za Tanzania tuh eti ndiyo pekee zinajihusisha na suala la kujenga hoteli na kudesign utalii wa aina hiyo,yeye Lema na CHADEMA wanajua fika kuwa suala hilo linafanyika kote duniani na kila aina ya tahadhari inachukuliwa,na siyo kila mtu tuh atapewa ruhusa ya kujenga kwa kuwa tuh ana mtaji wa kufanya hivyo,kuna study kadhaa zimeshafanyika na kuangalia sustainability ya jambo hilo kwa kuzingatia uhifadhi na maendeleo yake kwa ujumla.
Wamasai ni Jamii ambayo imeendelea kuongezeka na kuzaliana miaka na miaka,na itaendelea kuzaliana hifadhini wao pamoja na mifugo yao.
Ni Jambo ambalo liko wazi tuh kuwa kutokana na kuendelea kwao kuzaliana wao na wanyama obviously population yao itazidi kuongezeka na kupelekea kuathiri maisha na uhai wa hifadhi na wanyama wale kwa maslahi ya kizazi cha sasa na cha baadae.
Sasa,kuna kosa gani kwa serikali inapochukua hatua za makusudi katika kunusuru hali hiyo??wao CHADEMA na wanaharakati uchwara wanataka Serikali ikae kusubiri hadi lini kunusuru hali hiyo kwa mbuga zetu??
Wanakuja na siasa za kishamba eti ooh wamasai wanaondolewa ili mbuga wauziwe waarabu,ujinga ule ule waliokaja nao kwa kusema Bandari imeuzwa kwa waarabu ili mradi tuh kujenga taharuki na kukwamisha mambo ya msingi kuendelea.
Even kipindi cha Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere kule Rufiji eti kwa kigezo cha kuharibu mazingira ila hivi sasa wao wenyewe wamekaa kimya na kuishiwa maneno.
CHADEMA na wanaharakati uchwara yanapokuja mambo ya msingi ya kitaifa kama mnapinga basi mje na hoja za maana na zinazoeleweka na siyo mnakuwa kama watu ambao hamna akili timamu.
Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Bandari.
Ulicho andika hapa ni insha hujielewi.Friends and Our Enemies,

Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Banda
Inavyoelekea kumbe wewe unapiga mayowe tu bila kujua hata historia ya Wamasai na Ngorongoro yao..Sio kujifunua yaani Ngorongoro ni eneo la Kimkakati Kwa biashara ya Utalii ndio maana haitakiwi kuharibuwa Kwa shughuli za binadamu.
Nawe nakuambia, hameni ninyi huko mliko mwende kule ambako mwaarabu anataka mwende...So hameni why Tuhatibu Ngorongoro kisa Masai? Kwani Nchi hii imeisha maeneo ya watu kuishi?
Sisi bado tupo na Massai....hatoki mtu....actually,
wameshafeli mapema kabisa kwasababu hawana msingi wa hoja wanazo zitoa na kujenga, lakini pia nadhan hawajui hata wanatetea nini....
kwa maslahi mapana ya Taifa, nadhani ni wakati muafaka sana kuwapongeza wananchi wazalendo waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, maelfu kwa maelfu yao na kwa hiyari na dhamira yao njema, kukubali kuondoka hifadhini na kuhamia Msomera mkoani Tanga, ni uzalendo wa kiwango cha juu mno duniani...
bila ubinafsi, choyo wala tamaa, ila kwa manufaa ya vizazi vijavyo na kwa maslahi mapana ya Taifa, wazalendo wale wa kimasai, historia ya Tanzania itawakumbuka, kwa kwa kujitolea kwao umoja wao, na bila hiana wakakubali kuondoka hifadhini ngorongoro,
na hivi sasa wanakula maisha msomera, nadhani chadema ilipaswa kuwatete wazalendo hawa muhimu ikiwa wanakosa huduma muhimu...
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
actually,

View: https://www.youtube.com/watch?v=cuSAlwIHH0M
Msomera mkoani Tanga ndio wamefika, watoke tena waende wap gentleman 🐒Sisi bado tupo na Massai....hatoki mtu....
Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na kinachoendelea ngorongoro.
Lema anasema kwamba,Serikali inakosa mantiki katika kuwaondoa wamasai huku ikiendelea na kutoa vibali vya ujenzi wa hoteli mbali mbali za kitalii ambazo hizo ndizo zitakuwa kinara wa kuharibu ecologia na kuleta pollution kwenye hifadhi na kuathiri wanyama pori.
Well,Ifikie wakati hawa wanasiasa uchwara waache kujitoa ufahamu na kudhihirisha ujinga na upumbavu wao wazi wazi namna hii.
Suala la Ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya mbuga halifanyiki kiholela tuh bila mpangilio maalum,ni suala la kitaalam na siyo mbuga za Tanzania tuh eti ndiyo pekee zinajihusisha na suala la kujenga hoteli na kudesign utalii wa aina hiyo,yeye Lema na CHADEMA wanajua fika kuwa suala hilo linafanyika kote duniani na kila aina ya tahadhari inachukuliwa,na siyo kila mtu tuh atapewa ruhusa ya kujenga kwa kuwa tuh ana mtaji wa kufanya hivyo,kuna study kadhaa zimeshafanyika na kuangalia sustainability ya jambo hilo kwa kuzingatia uhifadhi na maendeleo yake kwa ujumla.
Wamasai ni Jamii ambayo imeendelea kuongezeka na kuzaliana miaka na miaka,na itaendelea kuzaliana hifadhini wao pamoja na mifugo yao.
Ni Jambo ambalo liko wazi tuh kuwa kutokana na kuendelea kwao kuzaliana wao na wanyama obviously population yao itazidi kuongezeka na kupelekea kuathiri maisha na uhai wa hifadhi na wanyama wale kwa maslahi ya kizazi cha sasa na cha baadae.
Sasa,kuna kosa gani kwa serikali inapochukua hatua za makusudi katika kunusuru hali hiyo??wao CHADEMA na wanaharakati uchwara wanataka Serikali ikae kusubiri hadi lini kunusuru hali hiyo kwa mbuga zetu??
Wanakuja na siasa za kishamba eti ooh wamasai wanaondolewa ili mbuga wauziwe waarabu,ujinga ule ule waliokaja nao kwa kusema Bandari imeuzwa kwa waarabu ili mradi tuh kujenga taharuki na kukwamisha mambo ya msingi kuendelea.
Even kipindi cha Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere kule Rufiji eti kwa kigezo cha kuharibu mazingira ila hivi sasa wao wenyewe wamekaa kimya na kuishiwa maneno.
CHADEMA na wanaharakati uchwara yanapokuja mambo ya msingi ya kitaifa kama mnapinga basi mje na hoja za maana na zinazoeleweka na siyo mnakuwa kama watu ambao hamna akili timamu.
Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Bandari.
NO SUN WILL SHINE,IN YOUR DAY TODAY.
Bila shaka sasa wewe umeelewa kinachoendelea.....Kila kitu kinarudishwa kama zamani.....sisi ni ndugu, ubaguzi hauna nafasiSahihi kabisa Mkuu,ukitaka ujue ukweli,we waulize hao wanaopinga kuwa wanataka serikali ifanye nini katika kunusuru ile hifadhi na wale wanyama kwa maslahi ya kizazi hiki cha sasa na hivyo vinavyokuja??
Kwa sababu wale maasai ni wanadamu
Huelewi unachokisema,na kama huelewi au hujui ni vigumu sana kupata uhalisia wa kinachoendelea kule.
Oyaa vipi, Fresh?Msomera mkoani Tanga ndio wamefika, watoke tena waende wap gentleman 🐒
Kiko wapi? kelele nyingi mama yenu katema bungo....na bado ....akauze Kizimkazi kuleNO SUN WILL SHINE,IN YOUR DAY TODAY.
DP World inaendelea na kazi na matunda yake yanaonekana,wapiga kelele mko wapi sasa??
Samia amemsikiliza Lema.Mlaumu Sasa mama yako kuungana na Lema tukusikie kama huna msimamo wa jogoo kusimamia mguu mmoja,mtupie punje moja uone atakavyo kugombea hiyo punje na vidaranga!Issue ya Gesi Mtwara,sisi tulikuwa tuna hoja zetu sisi kama sisi wananchi wa mtwara.
Na so far sisi kwa kias flan tulishafanikiwa,kuja kwa mwekezaji kama Dangote ilikuwa ni miongoni mwa hoja zetu,wawekezaji waje na sisi tunufaike kwa ajira na kukua kwa uchumi.
Kuhamishwa kwa wamasai ni kwa maslahi ya taifa kama yalivyo kawa issue ya gesi,so chochote chenye maslahi ya Taifa sisi tutasimama na kuunga mkono.
Mbona hujaeleza alichopotisha? Kupotosha ni kama kusema 2+5=8 na wewe unayeweka sahihi unasema, hapana 2+5=7 na si 8. Kusema tu kwamba kapotosha bila kuonyesha alivyopotosha na pia bila kuonyesha usahihi wake ukoje, unakuwa hujaeleza chochote.Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na kinachoendelea ngorongoro.
Lema anasema kwamba,Serikali inakosa mantiki katika kuwaondoa wamasai huku ikiendelea na kutoa vibali vya ujenzi wa hoteli mbali mbali za kitalii ambazo hizo ndizo zitakuwa kinara wa kuharibu ecologia na kuleta pollution kwenye hifadhi na kuathiri wanyama pori.
Well,Ifikie wakati hawa wanasiasa uchwara waache kujitoa ufahamu na kudhihirisha ujinga na upumbavu wao wazi wazi namna hii.
Suala la Ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya mbuga halifanyiki kiholela tuh bila mpangilio maalum,ni suala la kitaalam na siyo mbuga za Tanzania tuh eti ndiyo pekee zinajihusisha na suala la kujenga hoteli na kudesign utalii wa aina hiyo,yeye Lema na CHADEMA wanajua fika kuwa suala hilo linafanyika kote duniani na kila aina ya tahadhari inachukuliwa,na siyo kila mtu tuh atapewa ruhusa ya kujenga kwa kuwa tuh ana mtaji wa kufanya hivyo,kuna study kadhaa zimeshafanyika na kuangalia sustainability ya jambo hilo kwa kuzingatia uhifadhi na maendeleo yake kwa ujumla.
Wamasai ni Jamii ambayo imeendelea kuongezeka na kuzaliana miaka na miaka,na itaendelea kuzaliana hifadhini wao pamoja na mifugo yao.
Ni Jambo ambalo liko wazi tuh kuwa kutokana na kuendelea kwao kuzaliana wao na wanyama obviously population yao itazidi kuongezeka na kupelekea kuathiri maisha na uhai wa hifadhi na wanyama wale kwa maslahi ya kizazi cha sasa na cha baadae.
Sasa,kuna kosa gani kwa serikali inapochukua hatua za makusudi katika kunusuru hali hiyo??wao CHADEMA na wanaharakati uchwara wanataka Serikali ikae kusubiri hadi lini kunusuru hali hiyo kwa mbuga zetu??
Wanakuja na siasa za kishamba eti ooh wamasai wanaondolewa ili mbuga wauziwe waarabu,ujinga ule ule waliokaja nao kwa kusema Bandari imeuzwa kwa waarabu ili mradi tuh kujenga taharuki na kukwamisha mambo ya msingi kuendelea.
Even kipindi cha Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere kule Rufiji eti kwa kigezo cha kuharibu mazingira ila hivi sasa wao wenyewe wamekaa kimya na kuishiwa maneno.
CHADEMA na wanaharakati uchwara yanapokuja mambo ya msingi ya kitaifa kama mnapinga basi mje na hoja za maana na zinazoeleweka na siyo mnakuwa kama watu ambao hamna akili timamu.
Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Bandari.
ila kuna watu nchi hii ni wapuuz , hukuona yale MApendekezo ya ccmu waliyokuwa wanayapigia chapuo ? hujui kuwa mkataba uliosainiwa ni kwa jitihada za chadema , viongoz wa dini na wanazuon mbali mbali bila hivyo walikuwa wanasaini yale mapendekezo yao yasiyotaja kikomo na hata bungeni waliyapitisha yale mapendekezo , bunge halikiona kuwa yale mapendekezo yalikuwa yanagusa all economic zones na sio bandari tu pia hakukuwepo na ukomo ya mkataba ila hao unawaona wabaya ndo walikuokoa wewe g@y wa mbagala unaejuwa kupewa kofia na jez kukata mauno majukwan wenzio wanapea mabilioni na DP world , wanaiba 42B ambayo ww ukipewa 1B huez imaliza maisha yako yote hata ukiwa unakula kwa 100k kwa siku .Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na kinachoendelea ngorongoro.
Lema anasema kwamba,Serikali inakosa mantiki katika kuwaondoa wamasai huku ikiendelea na kutoa vibali vya ujenzi wa hoteli mbali mbali za kitalii ambazo hizo ndizo zitakuwa kinara wa kuharibu ecologia na kuleta pollution kwenye hifadhi na kuathiri wanyama pori.
Well,Ifikie wakati hawa wanasiasa uchwara waache kujitoa ufahamu na kudhihirisha ujinga na upumbavu wao wazi wazi namna hii.
Suala la Ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya mbuga halifanyiki kiholela tuh bila mpangilio maalum,ni suala la kitaalam na siyo mbuga za Tanzania tuh eti ndiyo pekee zinajihusisha na suala la kujenga hoteli na kudesign utalii wa aina hiyo,yeye Lema na CHADEMA wanajua fika kuwa suala hilo linafanyika kote duniani na kila aina ya tahadhari inachukuliwa,na siyo kila mtu tuh atapewa ruhusa ya kujenga kwa kuwa tuh ana mtaji wa kufanya hivyo,kuna study kadhaa zimeshafanyika na kuangalia sustainability ya jambo hilo kwa kuzingatia uhifadhi na maendeleo yake kwa ujumla.
Wamasai ni Jamii ambayo imeendelea kuongezeka na kuzaliana miaka na miaka,na itaendelea kuzaliana hifadhini wao pamoja na mifugo yao.
Ni Jambo ambalo liko wazi tuh kuwa kutokana na kuendelea kwao kuzaliana wao na wanyama obviously population yao itazidi kuongezeka na kupelekea kuathiri maisha na uhai wa hifadhi na wanyama wale kwa maslahi ya kizazi cha sasa na cha baadae.
Sasa,kuna kosa gani kwa serikali inapochukua hatua za makusudi katika kunusuru hali hiyo??wao CHADEMA na wanaharakati uchwara wanataka Serikali ikae kusubiri hadi lini kunusuru hali hiyo kwa mbuga zetu??
Wanakuja na siasa za kishamba eti ooh wamasai wanaondolewa ili mbuga wauziwe waarabu,ujinga ule ule waliokaja nao kwa kusema Bandari imeuzwa kwa waarabu ili mradi tuh kujenga taharuki na kukwamisha mambo ya msingi kuendelea.
Even kipindi cha Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere kule Rufiji eti kwa kigezo cha kuharibu mazingira ila hivi sasa wao wenyewe wamekaa kimya na kuishiwa maneno.
CHADEMA na wanaharakati uchwara yanapokuja mambo ya msingi ya kitaifa kama mnapinga basi mje na hoja za maana na zinazoeleweka na siyo mnakuwa kama watu ambao hamna akili timamu.
Hoja zenu kuhusu suala hili za ngorongoro zitafeli kama zilivyofeli kwenye sakata la Bandari.
ni nzuri tuOyaa vipi, Fresh?
Exactly,hao wanaotolewa huko kwanza wanapewa elimu...kisha wanapewa fidia ya makazi na ardhi ya kulishiwa mifugo yao huko wanakopelekwa...na wanahamishwa wao na mifugo yao kwa utaratibu unaoeleweka kabisa.
Sasa kelele zao hawa Chadema na wanaharakati uchwara ni za nini??