CHADEMA mnakengeuka, mmekuwa kama mmepata kiwewe cha kisiasa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kadiri mtananage wa uchaguzi mkuu unavyokaribia Chama kikuu cha upinzani nchini kimekumbwa na kiwewe cha kisiasa. Kimekuwa hakina muelekeo wala hoja za msingi kupambana na CCM.

Utasikia kila kukicha wanaibua hoja ambazo hazina mashiko wala mvuto. Kwa ufupi wanaweweseka na kutapatapa. Kila kukicha wanazua uzushi wa kitoto ambao hautawasaidia kisiasa.

Mfano hivi karibuni walivalia njuga suala la CCM kupokezana vijiti kwa wagombea urais kwa kumuachia aliyepo madaralani kuendelea kupeperusha bendera ya CCM bila kupingwa. Wao wanaona kama ni ishu ambayo itawabeba kisiasa wakati ni upuuzi.

Kwani hawajui kuwa Customs huwa zinakuwa kama sheria? Ndio maana hata kwenye jamii zetu tuna customary laws. Hizi ni sheria ambazo hutokana na mila na desturi.

Kwa hiyo kama CCM desturi yao kwa miaka zaidi ya 36 ni kuachiana kijiti kila baada ya miaka kumi, Chadema nyie hilo linawahusu nini? Sababu imeshakuwa kama taratibu yao.

Hapa Tanzania mtu akiua na akakutwa na hatia hukumu yake ni kifo. Lakini sasa imekuwa desturi kila rais akiingia madarakani hanyongi mtu aliyehukumiwa kifo. Japokuwa sheria inataka anyongwe.

Sasa limekuja suala la mswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali ya mwaka 2020. Moja ya sheria inayofanyiwa mabadiliko ni Basic rights and duties enforcement Act. Sasa wameanza kupotosha eti CCM wanajitungia sheria Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na spika hawatashikiwa. Jambo ambalo ni uongo na uzushi.

Mabadiliko haya yanataka mtu akitaka kufungua kesi dhidi ya viongozi hawa awe na hati ya kiapo kuonyesha namna haki yake ilivyovunjwa na namna alivyoathirika.

Pia atapofungua kesi mtu atafungua kesi dhidi ya viongozi hawa kama watafanya makosa wanapotekeleza majukumu yao na atafungua dhidi ya mwanasheria mkuu. Jambo ambalo ni la kawaida.

Chadema acheni kupaniki tunajua mna wakati mgumu sana. Lakini kubalini yaishe. Mliharibu wenyewe kwa hiyo tulieni mnyolewe.

Hapa chini someni vizuri kama hairuhusiwi kumshitaki Rais na viongozi wengine.

Screenshot_20200605-072951.jpg
 
Wataelewa wapi mkuu! Akili zao wote hadi kina Mbowe wamemfollow kigogo anawapa siri za nchi!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vituko vingine jamani.
 
Ni vizuri kuheshimu mawazo ya kila mtu ila ni dhambi kuheshimu upumbafu.
 
Wewe jibu hoja. Acha kupotosha, wapi inazuiliwa kushitaki viongozi wakuu wa nchi?
 
Ccm wamepaniki.kila siku wanasema chadema imekufa.wameshangazwa na mwitikio Wa wanachama Wa chadema kutaka kupambana na jpm kwenye urais
Ahaaaa. Hao ambao hata ubunge kushinda ni tabu ndio wapambane na JPM.
Lissu akiulizwa swali moja tu utawarudisha Acacia uliokuwa unawatetea?. Anakata pumzi hapo hapo.
 
Tumepigwa bumbuwazi hatukutegemea kama CDM ingekufa kifo cha mende kiasi hiki kwa nguvu iliyokuwa imejengwa awamu ya pili ya utawala wa Jakaya, na jinsi ambavyo CCM ilikuwa inapumulia machine miisho ya mwaka 2015 haya tutayasoma ktk historia miaka ijayo, ili kuweka mambo sawa neema yaliyojaa na kufulika upande was CCM itawashangaza wengi vizazi vijavyo.

Kuweka mambo sawa Muungwana hukubali kushindwa pale inapobidi, Ili asipate aibu kubwa itakayo andika historian mbaya. Ushauri wa bure CDM wajitoe kwenye uchaguzi ujao wataaibika mno.
 
Unataka wafanye nini wakiongea hizo unazosema hoja/sera Nec itawaadhibu kuwa wameanza kampeni kabla ya muda. Wakiitisha mkutano wanawekwa ndani wakiita press wanazuiwa ungekuwa wewe ungefanyaje? Wanapitia wakati mgumu sana. Hata wabunge kufanya mikutano kwenye majimbo yao wanazuiwa wakitweet mitandaoni wanapewa kesi za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya unataka wafanyeje katika mazingira kama hayo?
 
Kadiri mtananage wa uchaguzi mkuu unavyokaribia Chama kikuu cha upinzani nchini kimekumbwa na kiwewe cha kisiasa. Kimekuwa hakina muelekeo wala hoja za msingi kupambana na CCM.

Utasikia kila kukicha wanaibua hoja ambazo hazina mashiko wala mvuto. Kwa ufupi wanaweweseka na kutapatapa. Kila kukicha wanazua uzushi wa kitoto ambao hautawasaidia kisiasa.

Mfano hivi karibuni walivalia njuga suala la CCM kupokezana vijiti kwa wagombea urais kwa kumuachia aliyepo madaralani kuendelea kupeperusha bendera ya CCM bila kupingwa. Wao wanaona kama ni ishu ambayo itawabeba kisiasa wakati ni upuuzi.

Kwani hawajui kuwa Customs huwa zinakuwa kama sheria? Ndio maana hata kwenye jamii zetu tuna customary laws. Hizi ni sheria ambazo hutokana na mila na desturi.

Kwa hiyo kama CCM desturi yao kwa miaka zaidi ya 36 ni kuachiana kijiti kila baada ya miaka kumi, Chadema nyie hilo linawahusu nini? Sababu imeshakuwa kama taratibu yao.

Hapa Tanzania mtu akiua na akakutwa na hatia hukumu yake ni kifo. Lakini sasa imekuwa desturi kila rais akiingia madarakani hanyongi mtu aliyehukumiwa kifo. Japokuwa sheria inataka anyongwe.

Sasa limekuja suala la mswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali ya mwaka 2020. Moja ya sheria inayofanyiwa mabadiliko ni Basic rights and duties enforcement Act. Sasa wameanza kupotosha eti CCM wanajitungia sheria Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na spika hawatashikiwa. Jambo ambalo ni uongo na uzushi.

Mabadiliko haya yanataka mtu akitaka kufungua kesi dhidi ya viongozi hawa awe na hati ya kiapo kuonyesha namna haki yake ilivyovunjwa na namna alivyoathirika.

Pia atapofungua kesi mtu atafungua kesi dhidi ya viongozi hawa kama watafanya makosa wanapotekeleza majukumu yao na atafungua dhidi ya mwanasheria mkuu. Jambo ambalo ni la kawaida.

Chadema acheni kupaniki tunajua mna wakati mgumu sana. Lakini kubalini yaishe. Mliharibu wenyewe kwa hiyo tulieni mnyolewe.

Hapa chini someni vizuri kama hairuhusiwi kumshitaki Rais na viongozi wengine.

Chagu wa malunde umepigwa ban, badala ya hii id yako mpya kuipandisha NCCR umebaki na cdm tu.
 
Tumepigwa bumbuwazi hatukutegemea kama CDM ingekufa kifo cha mende kiasi hiki kwa nguvu iliyokuwa imejengwa awamu ya pili ya utawala wa Jakaya, na jinsi ambavyo CCM ilikuwa inapumulia machine miisho ya mwaka 2015 haya tutayasoma ktk historia miaka ijayo, ili kuweka mambo sawa neema yaliyojaa na kufulika upande was CCM itawashangaza wengi vizazi vijavyo. Kuweka mambo sawa Muungwana hukubali kushindwa pale inapobidi, Ili asipate aibu kubwa itakayo andika historian mbaya. Ushauri wa bure CDM wajitoe kwenye uchaguzi ujao wataaibika mno.

Hayo ndio matamanio ya kila mwanaccm kuwa cdm ife. Hilo mtangoja sana.
 
Kadiri mtananage wa uchaguzi mkuu unavyokaribia Chama kikuu cha upinzani nchini kimekumbwa na kiwewe cha kisiasa. Kimekuwa hakina muelekeo wala hoja za msingi kupambana na CCM.

Utasikia kila kukicha wanaibua hoja ambazo hazina mashiko wala mvuto. Kwa ufupi wanaweweseka na kutapatapa. Kila kukicha wanazua uzushi wa kitoto ambao hautawasaidia kisiasa.

Mfano hivi karibuni walivalia njuga suala la CCM kupokezana vijiti kwa wagombea urais kwa kumuachia aliyepo madaralani kuendelea kupeperusha bendera ya CCM bila kupingwa. Wao wanaona kama ni ishu ambayo itawabeba kisiasa wakati ni upuuzi.

Kwani hawajui kuwa Customs huwa zinakuwa kama sheria? Ndio maana hata kwenye jamii zetu tuna customary laws. Hizi ni sheria ambazo hutokana na mila na desturi.

Kwa hiyo kama CCM desturi yao kwa miaka zaidi ya 36 ni kuachiana kijiti kila baada ya miaka kumi, Chadema nyie hilo linawahusu nini? Sababu imeshakuwa kama taratibu yao.

Hapa Tanzania mtu akiua na akakutwa na hatia hukumu yake ni kifo. Lakini sasa imekuwa desturi kila rais akiingia madarakani hanyongi mtu aliyehukumiwa kifo. Japokuwa sheria inataka anyongwe.

Sasa limekuja suala la mswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali ya mwaka 2020. Moja ya sheria inayofanyiwa mabadiliko ni Basic rights and duties enforcement Act. Sasa wameanza kupotosha eti CCM wanajitungia sheria Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na spika hawatashikiwa. Jambo ambalo ni uongo na uzushi.

Mabadiliko haya yanataka mtu akitaka kufungua kesi dhidi ya viongozi hawa awe na hati ya kiapo kuonyesha namna haki yake ilivyovunjwa na namna alivyoathirika.

Pia atapofungua kesi mtu atafungua kesi dhidi ya viongozi hawa kama watafanya makosa wanapotekeleza majukumu yao na atafungua dhidi ya mwanasheria mkuu. Jambo ambalo ni la kawaida.

Chadema acheni kupaniki tunajua mna wakati mgumu sana. Lakini kubalini yaishe. Mliharibu wenyewe kwa hiyo tulieni mnyolewe.

Hapa chini someni vizuri kama hairuhusiwi kumshitaki Rais na viongozi wengine.

CDM inawapagaisha mno ccm kila siku wimbo wa ccm ni CHADEMA x3. Mwaka huu Lissu anawatoa jasho akiwa kitandani.
 
Walimchukulia poa Mh. Rais waliona kama vile kabatisha kupata kile kiti ila mambo anayofanya yamewafanya wapoteane kweli kweli 😂
 
Back
Top Bottom