CHADEMA mnakengeuka, mmekuwa kama mmepata kiwewe cha kisiasa

Hivi umeandika huku ukikumbuka kuwa kuna marufuku haramu iliyotolewa ili kuviminya vyama vya ushindani wa kisiasa kuendesha shughuli zake za kihalali, huku ikitoa upendeleo wa kipekee kwa chama tawala?
 
Akili zenu wote mnafanana na bawana yule
 
Chagu wa malunde umepigwa ban, badala ya hii id yako mpya kuipandisha NCCR umebaki na cdm tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Umejuaje mkuu ni yeye

Halafu bia yao nae kaja na ile ya zamani ya kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…