Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Hizo schandal tushazizoea kwa Lowassa si ilikuwa hivo hivo ila mwishowe alirudi bila kumsahau Mh.Membe1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani