Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Anaweza kwa dhati kabisa kuwa mkweli na kuhitaji nafasi upinzani. Bahati mbaya anaweza kupewa. Sasa kuanzia hapo ndio maumivu yanaanza kupungua. Hasira zinaisha. Anaanza kukumbuka nyumbani, na washkaji. Anaanza kuitwa nyumbani na vizawadi zawadi na viahadi. Mara huyooo... Rudi Nyumbani kumenogaBig no. Mpina na chama chake kinachotokea siyo drama. Mpina amedhamiria na haivi hata kidogo na wahuni wa kijani. Kama tutakuwa na upinzani imara 2025 njia nyeupe kwani wapo wengi wanakuja