Hizo schandal tushazizoea kwa Lowassa si ilikuwa hivo hivo ila mwishowe alirudi bila kumsahau Mh.Membe1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
yote yanawezekana1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuhawajafikia kuwa smart chadema bado mazezetta kibao yakiiongozwa na mbowe
Hakuna mwanasiasa wa Afrika anayefikiria maslahi ya Umma zaidi ya maslahi binafsiMbowe alishasema kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu..kikubwa tunaangalia sababu za kuenguliwa huko..je ni kwa sababu ya maslahi ya uma au maslahi binafsi.?
HAKUNA CDM itashinda bila kuwa na watu tena watu wengi wenye ushawishi kwa watu wa chini kule mashinani!1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Tena anatakiwa andelee kuibomoa ccm kwa kuwashawishi wengine wenye ushawishi Kama wapoChairman Mboe chukua tahadhari
Tatizo lenu nyie vijana mnadhani chadema ni chama cha mtu,familia au kikundi cha watu fulani au ni sacos ambayo kujiunga kwake kunahitaji masharti kama ya mganga wa kienyeji.1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Ingekuwa mshindi anatangazwa kwa kigezo Cha wingi, hiyo Kanda ya kimkamati ingekuwa na maana.Kwani akienda CDM na akawa na sifa shida iko wapi? CCM pia sio wajinga kihivyo ukanda ule ni wa kimkakati hawatakuwa tayari kumpoteza
Acha maneno mengi, hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya Dola, Wala sio suala la uanaharakati. Isitishe hilo neno harakati ni tafsiri ya kiccm, usipokuwa unawanyenyekea na kuwapa ukweli wao, hukuita mwanaharakati.Tatizo lenu nyie vijana mnadhani chadema ni chama cha mtu,familia au kikundi cha watu fulani au ni sacos ambayo kujiunga kwake kunahitaji masharti kama ya mganga wa kienyeji.
Chadema ni chama cha siasa na ni chama cha uma. Mtaji wa chama cha siasa ni watu yaani wanachama walio na kadi halal ya chama na wale wasio wanachama. Hivyo ili uweze kushinda uchaguzi unawahitaji zaidi wale wasio wanachama wako wawe upande wako, sasa ili kuwapata hawa utawahitaji wahamiaji wenye ushawishi kwa wakati huo kama alivyokuwa Mzee Lowasa.
Swala la kuendelea kubaki au kurudi kwenye chama chake hapo baadae kuna tegemea muelekeo wa chama chenu. Mfano Lowssa hakupendezwa na siasa za kiuwanaharakati. Na mnapaswa mfahamu hata wana ccm wengi tu wanakiona chadema ni kama chama mbadala cha kufikia matarajio yao ya kisiasa endapo kwa namna yeyote watashindwa kuyafikia ndani ya ccm. Mnachopaswa kufanya ni kuacha zile siasa zenu za kuchafua watu wakiwa ndani ya ccm ili wakihamia kwenu msipate kigugumizi cha namna ya kuwasafisha.
Asante. Uongo wa mchana kweupe anataka kutuaminisha kuwa ni ukweli!Acha uongo basi
Chadema ni chama hakina sababu ya kumkataa mtu, ila kila anaehamia lazima wekewa mipaka sio kufika chumbani bali kuishia sebuleni , ili chadema sina shaka wapo na uzoefu nalo, haliwezi kuwasumbua ,1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Bora zezeta sio rahisi kuaribu nchi , ila chawa ni cancer katika taifahawajafikia kuwa smart chadema bado mazezetta kibao yakiiongozwa na mbowe
kama atapokelewa labda aje agombee ubunge 20301. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Endeleeni kushupaza shingoAcha maneno mengi, hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya Dola, Wala sio suala la uanaharakati. Isitishe hilo neno harakati ni tafsiri ya kiccm, usipokuwa unawanyenyekea na kuwapa ukweli wao, hukuita mwanaharakati.
Atakumaliza wewe stupid. Mnawaza CHADEMA baadala ya ukweli wa kashfa. Acha kuwa mnafiki1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.