Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Anaweza kwa dhati kabisa kuwa mkweli na kuhitaji nafasi upinzani. Bahati mbaya anaweza kupewa. Sasa kuanzia hapo ndio maumivu yanaanza kupungua. Hasira zinaisha. Anaanza kukumbuka nyumbani, na washkaji. Anaanza kuitwa nyumbani na vizawadi zawadi na viahadi. Mara huyooo... Rudi Nyumbani kumenogaBig no. Mpina na chama chake kinachotokea siyo drama. Mpina amedhamiria na haivi hata kidogo na wahuni wa kijani. Kama tutakuwa na upinzani imara 2025 njia nyeupe kwani wapo wengi wanakuja
Mnamuogopa kwelikweli1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Mpishi wa ikuluHivi Mpina ni nani?
Tunamkaribusha ChaumaKwani hakuna vyama vingine zaidi ya CHADEMA?
Akili za kijinga hizi kuletewa ndo Nini? Na nani?1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Hapo kwenye "Enough" kuna walakini!Sidhani kama Chadema wanaweza kurudia makosa ya previous Election, they are smart enough. Anyway let’s wait patiently.
hilo lipo wazi1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Chadema watasubiri sana lo
Kwani Kuna ujinga zaidi ya ule walioufanya 2015 pamoja na Edward Lowasa.Upuuzi huu ungejadili.na wanao tu nyumbani kwako, hivi unawaona Chadema wao ni wajinga kiasi gani?
Wakati huo Peter Msigwa akiwa RC au katibu tawala wa mkoa wa Mwanza.Aende tu huko CHADEMA ,..kikubwa afanye kwanza kazi ya kukitangaza chama Meatu na kanda ya Ziwa kwa ujumla kama 10years ndio apewe nafasi ya kugombea hata udiwani