CHADEMA mnashindwa kujibu hoja za humu jukwani au na nyinyi hamjui mnataka nini au ni Dharau?

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mstaff Dr slaa kilivunjwa lini?

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
 
Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.
Na wewe umeulizwa, akina Mandela na wenzake walipopiga kambi Tanzania na kote duniani ili kukwepa kuumizwa na Makaburu wa SA, ni nani alikuwa anawatunza??
 
Mkuu unapost mara mbilimbili au umepaniki huu Uzi nataka wajibu viongozi wa chadema siyo wewe
 
Chadema hakina mbunge hata mmoja bungeni lakini kinaipelekea moto ccm na serikali yake mpaka basi, huwezi sikia mtu wa ccm ana discuss kuhusu chauma, ACT, na rundo la vyama vingine ni CHADEMA tu.

Mungu ibariki CHADEMA
 
Kula rambirambi ndo kuipelekea moto CCM?
 
Attachments

  • 20260522_081856.jpg
    20260522_081856.jpg
    53.6 KB · Views: 12
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right

haya yote ya Chadomo ukiyatoa kwenye Bil. 187 bado chenji inabaki... maana mengi hapo ni ya viongozi wa Chadomo binafsi ila hili la Bil. 187 linaumiza vizazi vya wadanganyika..
 
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
Wanatunzwa na mama yako haya nawewe tunataka utupe haya majibu Mdude mmemzika wapi Soka pia na Mwana CCM polepole mmewazika wapi sitaki kusikia eti wasiojulikana .
 
Ndio majibu 🖕🖕ya 🫎🫎🫎🫎 wa Chadema aya👈

ndio wanataka tuwape nchi ya TANZANIA waongeze👈
🚮
Wewe pimbi koma, siyo kila mpenda HAKI ni Chadema, wengine ni ccm na wasio na vyama
 
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
huenda majibu ya maswali yao ya msingi,
itakua ni matusi ambayo hatujawahi kuyaona wala kuyasikia :pulpTRAVOLTA:
 
Kiongozi acha ushamba sasa humu unamuuliza nani awasemee hao uliowataja kama unataka kujua hivyo si uwatafute wakuelezee wenyewe?punguza kiherehere
 
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
-Samia na Bashite ndiyo wana elimu ya kutosha?
-Wake za watu mnalazimisha wawepo ili muwateke au muwabambike kesi za uhaini? Hauoni ughaibuni wanavyopambana au uelewa wako umeishia kwenye Kiswahili tu?
-Kuna mtu TZ mwenye maneno ya shombo na matusi zaidi ya Samia?
-Kwa tunaoishi Canada tunajua ilivyo rahisi kujikimu alimradi tu usiwe mvivu hivyo kuuliza watu wanamudu vipi gharama za maisha ni ukosefu wa akili uliokithiri.
-Si kwamba watu wote ni wapumbavu wasiojitambua wanaotegemea kuishi kwa handouts, hata Kenya kuna WaTZ wengi na wanajishughulisha huku wakiingiza vipato vya kutosha mpaka na kutumia ndugu wahitaji walioko TZ, hivyo swali lako la kuhusu wanavyo'survive huko Kenya inatudhihirishia your lack of exposure.
-Wapigania haki pekee ndiyo wenye uchungu na amani ya nchi, pakikosekana haki basi amani hutafutwa kwa ncha ya upanga and that's the inevitable reality.
NB: Kuhusu pesa nadhani kabla ya kujadili michango ya CHADEMA ambayo inawahusu wao hebu tujadili kuhusu kodi zetu mnazoziita 'pesa za mama' na ufisadi wa waziwazi mpaka anabebwa na Abdul kwenye misafara ya viongozi, uuzwaji/ugawaji/ukodishajwi kihuni wa bandari na ufisadi wa dhahiri mwingi ambao madhara yake yanaathiri moja kwa moja mustakabali wa taifa letu.
We're all game.....
 
Mtakulaje rambirambi wakuu
 
Back
Top Bottom