Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mavi kama nyie mnasema usiku ni mchana mtajibiwa nini sasa-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.
-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli
- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli
- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya
- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu
- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?
- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?
- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli
- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification
Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?
TUSIJE TUKAWA:
Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.
Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right