CHADEMA mnashindwa kujibu hoja za humu jukwani au na nyinyi hamjui mnataka nini au ni Dharau?

-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
Mavi kama nyie mnasema usiku ni mchana mtajibiwa nini sasa
 
Brother mkuu Matrix19 njoo utoe ufafanuzi
Sijaona hoja hapo , naomba ujibu haya maswali uliyokwepa jana kuyajibu.

Nani alihusika kumpiga Lissu risasi 36 mwaka 2017?

Kwanini hadi leo hakuna uchunguzi, kesi, wala ripoti ya tukio lile?

Nani alitoa kamera za ulinzi na walinzi kabla ya Lissu kushambuliwa.?

Ripoti ya utekaji, mauaji ya mzee Ali Kibao iko wapi?

Mafisadi na majizi wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua gani?
downloadfile-527.jpg

Nani alimshambulia Fr Kitima?

Nani alimteka na kumuua Mdude Nyagali?

Nani alimteka Dioniz Kipanya?

Nani alimteka Chaula?

Nani alimteka Polepole?

Nani alitoa amri ya watu kupigwa risasi October 29
 
Sijaona hoja hapo , naomba ujibu haya maswali uliyokwepa jana kuyajibu.

Nani alihusika kumpiga Lissu risasi 36 mwaka 2017?

Kwanini hadi leo hakuna uchunguzi, kesi, wala ripoti ya tukio lile?

Nani alitoa kamera za ulinzi na walinzi kabla ya Lissu kushambuliwa.?

Ripoti ya utekaji, mauaji ya mzee Ali Kibao iko wapi?

Mafisadi na majizi wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua gani?
View attachment 3618575
Nani alimshambulia Fr Kitima?

Nani alimteka na kumuua Mdude Nyagali?

Nani alimteka Dioniz Kipanya?

Nani alimtaka Chaula?

Attachments

  • 20250401_130320.jpg
    20250401_130320.jpg
    33.7 KB · Views: 7

  • 20260522_081856.jpg
    20260522_081856.jpg
    53.6 KB · Views: 6

  • 20240922_100452.jpg
    20240922_100452.jpg
    115.5 KB · Views: 5
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mstaff Dr slaa kilivunjwa lini?

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
Nilikujibu anawatunza mamako kutoka kizimkazi au hukueleqa ili nije na jibu konki, nguruwe wa mama.
 
Si bora zikajibiwa hoja za chaumwa ila sii zako,zako anaweza jibu rafiki zako Mwashamba na Tlatlah
 
Mtakulaje rambirambi wakuu
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ila pesa za umma tuna wajibika kudai mahesabu yake kuwa wazi kwa taifa, hao kwenye vyama kama kuna wizi au ufisadi wahusika wapelekwe mbele ya vyombo vya sheria.
 
Hivi unajua hata ToneTone ni pesa za umma? Au hujui
 
Hizo ni pesa za watu walioamua kuchanga kama ilivyo michango ya harusi, mbona unakwepa kuzungumzia ubadhilifu wa mali za umma na ufujaji wa kodi za wananchi ambazo zinakatwa/zinalipwa kwa ajili ya manufaa ya nchi, si pesa zilizotolewa kwa hiyari bali ni wananchi wako obliged and sometimes forced kulipa lakini zinafujwa na kuna kenge wanaziita pesa za mama.
Tone kwa tone ukitaka unachanga na usipotaka hauchangi hakuna anayekulazimisha.
 
Ndio majibu 🖕🖕ya 🫎🫎🫎🫎 wa Chadema aya👈

ndio wanataka tuwape nchi ya TANZANIA waongeze👈
Matako yako! Cdm ina msemaji wake kama chama, sio kila kauli uisikiayo ni ya chama mpaka iwe imetolew na msemaji. Au kwa mujibu wa katiba ya chama
 
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu.

-Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli

- Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu ni utapeli

- Tumeuliza wanasema rambirambi za kule kusini hazikufuka zilienda wapia? Kimya

- kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mstaff Dr slaa kilivunjwa lini?

- Tumeuliza wake na watoto wenu wanaoishi Canada na Marekani wanatunzwa na nani? Kimya... Huu ni umario kwa mabeberu

- Tumeuliza nani anayemlipa mshahara mshauri mkuu wa chadema kisheria ndugu Robert Amsterdam? Kimya?

- Tumeuliza nini kinawafanya msiwarudishe wake zenu Tanzania? Kimya?

- hatukuona donation ya wahanga wa Hanang ikiwasilishwa mseme Hela mlipeleka wapi....kimya: huu ni utapeli

- inasemekana Mnyika alidisko chuo kikuu na ndicho kilisababisha CV yake kufutwa mitandaoni...why don't you provide clarification

Je! Eti chadema hivi mna hata political mission na mission kweli?

TUSIJE TUKAWA:

Tunalalamika chadema kujaa watukana matusi kumbe viongozi wa Chama hawakumaliza chuo.

Tunalalamika mbona chadema hawana uchungu wa amani ya nchi yetu kumbe viongozi hawana elimu za kutosha kutambua what is wrong/right
Shit
 
Back
Top Bottom