Pre GE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

Pre GE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni muhimu kweli nao kuwa na vyombo vyao vya habari
 
Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu!

Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa.

Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio.

Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi?

Pia Soma
- CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025
Unakua na TV na Radio ambazo zinakua chini ya sisiemu ni wastage of resources kila siku watafungiwa mje kusema wanapendelea habari za chama chap Acha wabanane humo humour kwenye hizi wanazomiliki sisiemu na allies
 
Mimi ni Mwanachama wa Chadema nakiri kusema Kitengo cha Management Habari Maelezo Hakina Kazi hata Zero.

Ni kitengo cha hovyo chenye watu wasio na uwezo hata kidogo.
.habari za Chadema zinasambaa tu kwa sababu ya Mapenzi ya watanzania kupenda kuhabarishana kuhusu Chama Chao ila hiyo management ya Habari Maelezo ni ya Hovyo ni Ya hovyo Kweli kweli
Ni Kweliii kabisaa
 
Back
Top Bottom