Kuna jamaa mmoja nilimwambia humu,
Ukishirikisha wanasiasa kwenye bunge la katiba utakosa hoja ya kuipinga katiba iliyopo,
maana itatengenezwa katiba inayowabeba walio wengi bungeni, hivyo hakuna kitakachobadilishwa
Maana hawatataka katiba mpya iwapole madaraka,
Katiba mpya itengenezwe na makundi ya wanazuoni, na watu mbali mbali kwenye jamii, tofauti na hawa wapiga kelele(wanasiasa)