Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuna watu kama Kigogo, Mange, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa CHADEMA.
Licha ya kuwageuka na kuwatukana CHADEMA watu hawa wanaonekana ni wana CHADEMA na hivyo kuharibu sura ya CHADEMA na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni.
Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi.
Hii inafanya chama kupoteza heshima.