CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

Ni
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema,

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi,

Hii inafanya chama kupoteza heshima
Nilidhani ulimfuata magufuli, kumbe bado upo, mfuate mungu wako Jiwe
 
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema,

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi,

Hii inafanya chama kupoteza heshima
Kile chama mtu mstaarabu mbowe tu wengine wote mihemuko tu matusi na ujuaji mwingi halafu ushamba mwingi
 
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema,

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi,

Hii inafanya chama kupoteza heshima
Mawaziri woote ni wa chadema asante sana kwa taarifa
 
Wewe imekuadhiri nini? Umekosa ajira ,umeme umekatika kwako,maji hayatoki? Dawa hakuna hospitali? Jamba huko ukalale mwanhizaya wee
 
Leo kigogo na mange wamegeuka watukanaji aiseee si mlikua mnawaona mashujaa wenu walipokua wanamshambulia JPM. Tulieni dawa iwaingie vizuri
 
Yule Mwenyekiti wa Uvccm alietishia kuuwa hadharani huko Bukoba, alichukuliwa hatua gani, iwe kichama au kisheria?
Mkuu muulize kuna mtu akatukanwa kama Lowasa nchi hii? Badi record ya wana CCM kumtukana Lowasa haijavunjwa
Ulimsikiliza Makonda kwenye kumbukumbu ya Sokoine Arusha?
Hii tabia ya kusema CCM wanafanya makosa kwa hiyo na sisi ni halali kufanya makosa hayo hayo nadhani inacompromise sana Chadema

CCM wana advantage ya dola, na wanatumia nguvu zote kubaki na dola za ili Chadema iitoe CCM madaakani inatakiwa kujionyesha ni bora, ni bora, ni bora kuizidi CCM, ndio wananchi wataona its worth it kujitoa kuiondoa CCM madarakani

Sasa kama mwananchi akiona Chadema na CCM hamna tofauti, hatajihangaisha hata kupiga kura, achilia mbali kushiriki maandamano,
 
CCM wana advantage ya dola, na wanatumia nguvu zote kubaki na dola za ili Chadema iitoe CCM madaakani inatakiwa kujionyesha ni bora, ni bora, ni bora kuizidi CCM, ndio wananchi wataona its worth it kujitoa kuiondoa CCM madarakani
Kwa hiyo wao wakitukana ni sawa kabisa.
 
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema.

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni.

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi.

Hii inafanya chama kupoteza heshima.
Hebu nikukumbushe kidogo... Hata CCM wanawakumbatia umesahau yule jamaa enzi za magufuli na gazeti lake alikuwa akitukana watu lakini kwa kuwa alikuwa upande wa serikali, Msiba hakwuahi chukuliwa hatua.
TUache huyo, kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2015, Mange alikuwa upande wa CCM alikuwa anamtukana Lowassa, akapost video akisema eti amejiny... alimdhihaki sana. CCM na serikali waliona poa tu. Mange huyu huyu aliwahi kusema, baada ya uchaguzi alipoanza kuikandia serikali, Mheshimiwa Nape alimtafuta akamuuliza wamemkosea nini kuna kitu ambacho anataka, ndio maana kawageuka. Kwa kauli yake hii ina maana walikuwa wanafurahia alichokuwa anafanya. Mange hajawahi kuwa wala kujitangaza kuwa ni wmanachadema, ila aliwahi jitangaza mwana CCM na kuchukua fomu ya kugombea.
So, it seems mtu anaonekana anatukana pale anapokuwa upande mwingine upande huu ndipo wanasema anatukana, akihamia kwenigne wale waliosema anatukana wanaacha wale waliokuwa wanafurahia nao wanasema anatukana. Kama tunapinga matusi tuyapinge bila kujali anayetukanwa ni nani.
 
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema.

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni.

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi.

Hii inafanya chama kupoteza heshima.
CCM imewapa teuzi kabsa had za Uwaziri.
So, kwa Mujibu wa Jiniazi wenu Makonda, watukanaji mpo nao huko CCM na Makonda , rais na serikali wanawajua wameamua tu kuwasitili na kuwakumbatia.
Labda utwambie wewe, CHADEMA inaingiaje hapo?
 
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa Chadema.

Licha ya kuwageuka na kuwatukana Chadema watu hawa wanaonekana ni wana Chadema na hivyo kuharibu sura ya Chadema na kuifanya kuonekana ni chama kilichojaa vijana wahuni.

Vijana ambao hawana content yeyote ya msingi ya kukosoa serikali zaidi ya matusi.

Hii inafanya chama kupoteza heshima.
We pimbi , wote hao uliowataja ni Wana ccm
 
ili uwekwe front line kwenye hicho chama au uonekane wewe ni jasiri na wakuthibitishe kwamba wewe ni first class brain kwenye chama chao,

lazima kwanza uwe na mihemko ya kutosha,
lakini pili uwe na ujasiri wa kuporomosha matusi kwa mpangilio kwa wanaopinga au kukataa malalamiko ya chama chao ya miaka yote 🐒
 
Inamana hujui kuwa Mange ni mwana ccm na alishiriki kwenye kampeni za uchaguzi 2015 na ndie aliyeanzisha stori za Lowasa kiujnyea.
 
sasa mbo na wanachadema munamshabikia kama mnamjua vizuri kuwa ni mwanaccm?
 
Ni watu ambao ukitofautiana nao mtazamo basi utaitwa majina yote mabaya na matusi. Badala ya kutetea hoja yao bila kutukana.
 
Back
Top Bottom