CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

Kigogo ni sapoter wa ccm tangu 2021 hadi atakapo tangaza tena.
 
Umesahau mawaziri wa ccm sio tu wanakumbatiwa bali wameteuliwa n wanakula kodi zetu?
Na ndio kundi limetangazwa na Makonda kwa kutukana viongozi.
 
Ufafanuzi kidogo - ni kiongozi yupi wa Chadema alijitokeza na kusema kwamba chama kinawaunga mkono hao uliowataja? Je, wewe ni mtetezi wa serikali au ni chawa wa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…