Any fair minded person will describe it as a stupid way to go-Simple as that. It's not easy to think or understand about a party with 50+ years of experiences employing stone ages techniques in 21st century-very poor stratergy.Why can't you resist?
'
The first question you could have asked your self is why are they bribing oppositions in the first place?Even ACT with less than five years experience will not do that because its a stupid way to go.Why can't you resist?
'
Watafukuzwa tu na chama kitabaki kuwa imara na CCM ndio itakayoumbuka.Bora ungejikita saizi kuisaidia cc itakayokaa kesho juu ya maamuzi ya Mdee et al, 2020. Alikuja kwa mkwara, mbwembwe nyingi, kejeri, karudi kwa aibu; bora Mbowe angegombea kuliko yule jamaa. This is a worst ever experience cdm mnapitia, na inahitaji busara kubwa sana katika kikao cha kesho, na mkikurupika tu kesho mtakuwa vipandevipande. After all, humo cdm hakuna mfia chama bana, wengi mpo opportunistic tu, magugu yapo mengi sana tena ya kutosha. It require a total overhaul on the current administration, and install new brain, great thinkers.
If you think the strategies it applies are stone-aged ones, why can't you use modern ways of repelling them or avoiding them. Since a departure of Hon. Dr. Slaa, looks like there is a huge leadership void within CDM. Based on a current prevailing Mdee et al, 2020 turmoil, I am even tempted to say, every senior leader within CDM IS A PROSPECTIVE TRAITOR. YOU CAN'T TRUST ANYBODY. My friend, this is just a beginning.A
Any fair minded person will describe it as a stupid way to go-Simple as that. It's not easy to think or understand about a party with 50+ years of experiences employing stone ages techniques in 21st century-very poor stratergy.
Mkuu yaani Mbowe kabisa arudishe mzigo? Hebu tuwe serious kidogo.Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hiili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu).
Kwahiyo, kama ni.swala la kuingiziwa tu fedha kwenye akaunti ya chama kulingana na idadi ya wabunge, basi CHADEMA mjiandae kwa hili kwani linaweza tokea wakati wowote ule.
Hata hivyo, ni Imani yangu mtazirudisha hizo fedha iwapo jambo la aina hii litatokea.
Fedha kwa sasa ndio imekuwa silaha ya watu fulani katika juhudi zao za kutaka kuua upinzani na hasa CHADEMA hivyo mjipange kukabiliana na mambo ya aina hii.
Nyama ya nguruwe haramu lakini mchuzi wake ruksa siyo?Pesa wasikatae
Wakichukua imekula kwao.
Haiwezekani technically kwa sababu ruzuku huingizwa kwenye akaunti ya chama, ambayo ina utaratibu maalumu wa kutoa fedha kwa kutumia watia saini walioidhinishwa. Ila kwa utemi wa awamu hii lolote linawezekana maana hata hayo majina ya wabunge wa viti maalum yalitakuwa kwanza yapelekwe na katibu mkuu Mnyika huko NEC, then NEC I watangaze na kupeleka orodha kwa spika ili waweze kuapishwa. Sasa inasemekana wao wameenda kwa spika wakaapishwa ndiyo orodha hiyo ikaenda NEC...Kuna hatari ya kuwa hio ruzuku inaweza Kupelekwa kwa hao wabunge na wao wakatambulika kuwa ndio chadema rasmi,kama walofanyiwa cuf,kwa hali ilivyo saivi anything is possible
Kwa ninavyojua misimamo ya akina Lissu, John Heche, Mnyika etc hao na yule mbunge wa Nkasi watafukuzwa,Mark this post. Ila kwa staili ile ile ya yule Mwambe, hawa wabunge 20 wataendelea kubaki bungeni, wakiwa ni wabunge wa viti maalum vya spikaWhat if kwenye kikao cha kamati kuu ya chama kitakachofanyika Ijumaa hao viti maalum wakafukuzwa uanachama wa CHADEMA?
Maamuzi ya vikao halali vya chama yalishafanyika na taarifa kutolewa kwa wanachama, akiwemo huyo Aida, sasa kama amekaidi kuna haja ya kumpigia simu kweli? Ni kusubiri kikao kingine cha maamuzi basi.Kaka Salary, mnachoamini wafuasi wa CHADEMA linapokuja suala la kujenga taasisi financially most likely sio wanachoamini na kupractice genuinely viongozi wakuu wa Chama
The fact kwamba Aida alienda Bungeni kuapa na hakuna kiongozi hata mmoja aliyempigia japo simu tu ya kumuonya kabla na baada ya kuingia ni indicator tosha.
Time will tell maana tarehe 27 Nov 2020 sio mbali. La msingi tu ni ninyi kuwa na akiba ya maneno maana mtarudi tu kutetea maamuzi ya chama vyovyote yatakavyokuwa
HahahahaSio kwa Mbowe anaombea huo mzigo utue hata sa hivi
Hapo ndiyo finali uzeeni.Chadema ina masaa 24 ya kuishi hadi kesho jioni.Chezea kina mama, penye wanawake kuna jeshi kubwa.Mkubali yaishe kunusuru chamaBora ungejikita saizi kuisaidia cc itakayokaa kesho juu ya maamuzi ya Mdee et al, 2020. Alikuja kwa mkwara, mbwembwe nyingi, kejeri, karudi kwa aibu; bora Mbowe angegombea kuliko yule jamaa. This is a worst ever experience cdm mnapitia, na inahitaji busara kubwa sana katika kikao cha kesho, na mkikurupika tu kesho mtakuwa vipandevipande. After all, humo cdm hakuna mfia chama bana, wengi mpo opportunistic tu, magugu yapo mengi sana tena ya kutosha. It require a total overhaul on the current administration, and install new brain, great thinkers.
27 Nov 2020 ni kesho. Kusuka au kunyoa. Mbivu au mbichi.Ni kusubiri kikao kingine cha maamuzi basi.
CC: JosepKwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hiili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu).
Kwahiyo, kama ni.swala la kuingiziwa tu fedha kwenye akaunti ya chama kulingana na idadi ya wabunge, basi CHADEMA mjiandae kwa hili kwani linaweza tokea wakati wowote ule.
Hata hivyo, ni Imani yangu mtazirudisha hizo fedha iwapo jambo la aina hii litatokea.
Fedha kwa sasa ndio imekuwa silaha ya watu fulani katika juhudi zao za kutaka kuua upinzani na hasa CHADEMA hivyo mjipange kukabiliana na mambo ya aina hii.
Kumbe unaendeleza hii habari!Waingiziwe mara mbili?!
Unadhani kwanini wamepeleka majina haraka haraka?!
Hahahaaaa.......hebu jiridhishe hapo kwa J J Mnyika!
Njia pekee ya CCM iliyobakia kujikwamua kwenye hili sakata ni kujaribu kutumia ndoano na chambo kuwavua samaki wenye tamaa...ili kuudanganya umma kwamba uchaguzi huu ulikuwa Huru na Haki. Leo hii wale 19 ukiwauliza watakwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Ndoano ya kwanza ishawakamata wale 19 tayari - wacha tuone game linaendelea - fedha ilishindwa kumuumba na kumfufua mwanadamu tu - mengine inaweza.
Ndoano ya pili itakuwa ni kurusha fuko la ruzuku kwenye chama - hapo sasa!!