CHADEMA mnaweza kuwekwa mtegoni kwa kuingiziwa ruzuku itokanayo na Wabunge wa Viti Maalum msiowatambua

CHADEMA mnaweza kuwekwa mtegoni kwa kuingiziwa ruzuku itokanayo na Wabunge wa Viti Maalum msiowatambua

A
Why can't you resist?

'
Any fair minded person will describe it as a stupid way to go-Simple as that. It's not easy to think or understand about a party with 50+ years of experiences employing stone ages techniques in 21st century-very poor stratergy.
 
Why can't you resist?

'
The first question you could have asked your self is why are they bribing oppositions in the first place?Even ACT with less than five years experience will not do that because its a stupid way to go.
 
Bora ungejikita saizi kuisaidia cc itakayokaa kesho juu ya maamuzi ya Mdee et al, 2020. Alikuja kwa mkwara, mbwembwe nyingi, kejeri, karudi kwa aibu; bora Mbowe angegombea kuliko yule jamaa. This is a worst ever experience cdm mnapitia, na inahitaji busara kubwa sana katika kikao cha kesho, na mkikurupika tu kesho mtakuwa vipandevipande. After all, humo cdm hakuna mfia chama bana, wengi mpo opportunistic tu, magugu yapo mengi sana tena ya kutosha. It require a total overhaul on the current administration, and install new brain, great thinkers.
Watafukuzwa tu na chama kitabaki kuwa imara na CCM ndio itakayoumbuka.
 
I
A

Any fair minded person will describe it as a stupid way to go-Simple as that. It's not easy to think or understand about a party with 50+ years of experiences employing stone ages techniques in 21st century-very poor stratergy.
If you think the strategies it applies are stone-aged ones, why can't you use modern ways of repelling them or avoiding them. Since a departure of Hon. Dr. Slaa, looks like there is a huge leadership void within CDM. Based on a current prevailing Mdee et al, 2020 turmoil, I am even tempted to say, every senior leader within CDM IS A PROSPECTIVE TRAITOR. YOU CAN'T TRUST ANYBODY. My friend, this is just a beginning.
 
Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hiili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu).

Kwahiyo, kama ni.swala la kuingiziwa tu fedha kwenye akaunti ya chama kulingana na idadi ya wabunge, basi CHADEMA mjiandae kwa hili kwani linaweza tokea wakati wowote ule.

Hata hivyo, ni Imani yangu mtazirudisha hizo fedha iwapo jambo la aina hii litatokea.

Fedha kwa sasa ndio imekuwa silaha ya watu fulani katika juhudi zao za kutaka kuua upinzani na hasa CHADEMA hivyo mjipange kukabiliana na mambo ya aina hii.
Mkuu yaani Mbowe kabisa arudishe mzigo? Hebu tuwe serious kidogo.
 
Kwani ruzuku inatokana na wabunge wa viti maalum, au wabunge wa majimbo wa chama husika au idadi ya kura za urais ambazo chama kimepata!?
 
Wakichukua imekula kwao.

Mkuu huo sio mtego.
Bali huo ni mpango maalumu ambao unapangwa na watu maalumu na unaamuliwa na watu maalumu.

Sio lazima wakina Mnyika wajue.

Unakumbuka kuna Waraka ulitoka kipindi cha kina zitto ndani yake yupo mdau alisema Baada kufukuzwa wakina kitila atakuja zitto atakuja Slaa watu walimtukana lakin ikawa hivyo.

Baadaye alimsihi Mnyika atulie kwani ndani ya Chama yeye mtumiwa lakin Lissu aliambiwa ni mpitaji tu Chadema sasa wacha tuone.

Ni HALIMA au Mnyika na Lissu.

Mwamuzi ni Mbowe na kamati maalumu ya wasuka mipango.
 
Kuna hatari ya kuwa hio ruzuku inaweza Kupelekwa kwa hao wabunge na wao wakatambulika kuwa ndio chadema rasmi,kama walofanyiwa cuf,kwa hali ilivyo saivi anything is possible
Haiwezekani technically kwa sababu ruzuku huingizwa kwenye akaunti ya chama, ambayo ina utaratibu maalumu wa kutoa fedha kwa kutumia watia saini walioidhinishwa. Ila kwa utemi wa awamu hii lolote linawezekana maana hata hayo majina ya wabunge wa viti maalum yalitakuwa kwanza yapelekwe na katibu mkuu Mnyika huko NEC, then NEC I watangaze na kupeleka orodha kwa spika ili waweze kuapishwa. Sasa inasemekana wao wameenda kwa spika wakaapishwa ndiyo orodha hiyo ikaenda NEC...
 
What if kwenye kikao cha kamati kuu ya chama kitakachofanyika Ijumaa hao viti maalum wakafukuzwa uanachama wa CHADEMA?
Kwa ninavyojua misimamo ya akina Lissu, John Heche, Mnyika etc hao na yule mbunge wa Nkasi watafukuzwa,Mark this post. Ila kwa staili ile ile ya yule Mwambe, hawa wabunge 20 wataendelea kubaki bungeni, wakiwa ni wabunge wa viti maalum vya spika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaka Salary, mnachoamini wafuasi wa CHADEMA linapokuja suala la kujenga taasisi financially most likely sio wanachoamini na kupractice genuinely viongozi wakuu wa Chama

The fact kwamba Aida alienda Bungeni kuapa na hakuna kiongozi hata mmoja aliyempigia japo simu tu ya kumuonya kabla na baada ya kuingia ni indicator tosha.

Time will tell maana tarehe 27 Nov 2020 sio mbali. La msingi tu ni ninyi kuwa na akiba ya maneno maana mtarudi tu kutetea maamuzi ya chama vyovyote yatakavyokuwa
Maamuzi ya vikao halali vya chama yalishafanyika na taarifa kutolewa kwa wanachama, akiwemo huyo Aida, sasa kama amekaidi kuna haja ya kumpigia simu kweli? Ni kusubiri kikao kingine cha maamuzi basi.
 
Bora ungejikita saizi kuisaidia cc itakayokaa kesho juu ya maamuzi ya Mdee et al, 2020. Alikuja kwa mkwara, mbwembwe nyingi, kejeri, karudi kwa aibu; bora Mbowe angegombea kuliko yule jamaa. This is a worst ever experience cdm mnapitia, na inahitaji busara kubwa sana katika kikao cha kesho, na mkikurupika tu kesho mtakuwa vipandevipande. After all, humo cdm hakuna mfia chama bana, wengi mpo opportunistic tu, magugu yapo mengi sana tena ya kutosha. It require a total overhaul on the current administration, and install new brain, great thinkers.
Hapo ndiyo finali uzeeni.Chadema ina masaa 24 ya kuishi hadi kesho jioni.Chezea kina mama, penye wanawake kuna jeshi kubwa.Mkubali yaishe kunusuru chama
 
Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hiili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu).

Kwahiyo, kama ni.swala la kuingiziwa tu fedha kwenye akaunti ya chama kulingana na idadi ya wabunge, basi CHADEMA mjiandae kwa hili kwani linaweza tokea wakati wowote ule.

Hata hivyo, ni Imani yangu mtazirudisha hizo fedha iwapo jambo la aina hii litatokea.

Fedha kwa sasa ndio imekuwa silaha ya watu fulani katika juhudi zao za kutaka kuua upinzani na hasa CHADEMA hivyo mjipange kukabiliana na mambo ya aina hii.
CC: Josep
Waingiziwe mara mbili?!

Unadhani kwanini wamepeleka majina haraka haraka?!
Kumbe unaendeleza hii habari!
 
Njia pekee ya CCM iliyobakia kujikwamua kwenye hili sakata ni kujaribu kutumia ndoano na chambo kuwavua samaki wenye tamaa...ili kuudanganya umma kwamba uchaguzi huu ulikuwa Huru na Haki. Leo hii wale 19 ukiwauliza watakwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Ndoano ya kwanza ishawakamata wale 19 tayari - wacha tuone game linaendelea - fedha ilishindwa kumuumba na kumfufua mwanadamu tu - mengine inaweza.

Ndoano ya pili itakuwa ni kurusha fuko la ruzuku kwenye chama - hapo sasa!!

Kama Bernard Morrison alirudisha vijidola vya ya Yanga CDM itashindwaje kuutangazia ulimwengu na kuwarudishia waliotoa hiyo ruzuku haramu?
 
Back
Top Bottom