CHADEMA moja ya mafanikio yao, wamefanikiwa kuichonganisha Serikali na wananchi wake. Chuki ipo juu sana

Mwanzoni nilidhani upo vizuri ila nimekuja kugundua unatumia mihemko zaidi kuwasilisha mada zako kuliko uhalisia.
Kitu pekee unachofanya vizuri ni kubalance story ili usishambuliwe na upande wowote. Punguza mihemko na maandiko tumia muda mwingi kutafiti na muda mchache kutoa maandiko. Umaarufu ni mzuri ila umaarufu unaokuharibia reputation hauna maana.
Asante
 
Hujaweka namba!
 
Hii itatokea hadi chaguzi zijazo watu awatoenda kupiga kula
 
Wewe jamaa huu uzi umefanya nikutafakari sana chadema inawezaje kuchanganisha wananchi na serikali? Serikali inatawikiwa kutumiza uwajibu wake kwa wananchi. Je ni kwamba wananchi hawana akili za kujua kwamba hii serikali ni kifisadi au katili? Chadema ni wakina nani ? Nachojua chadema ni chama kinachaoundwa na wananchi wa Tanzania
 
Chadema haijachonganisha mtu,
Imeweka ukweli wazi,
Ufisadi, huduma mbovu,wananchi wamejua ukweli,
Jitu lilituambia limeshinda kwa asilimia 98! Harafu linazuia "waliolupigia kura" Wasitembee Saba Saba!
 
CCM Imejaza matakataka
mauaji
utekaji
ufisadi
ubakaji

kama hawa mbogamboga watashikilia bomba mpaka 2030 watakuwa wamechoka sana na itakuwa mwisho wao!
 
Yani blanda na wizi wafanye viongozi wa sisiemu na gavoo halafu useme CDM wamewachonganisha hii ni akili ya wapi? Yani unye wewe akija mtu akikuanbia unejinyea useme anakuchafua kwa watu ile hali umejichafua mwenyewe?
 
Umeandika vizuri sana,sema umekatishia katikati,Samia hana uungwaji mkono wowote,Magufuli alifanikiwa sana kutengeneza watu wake tangia akiwa waziri wa ujenzi,kuna watu wanaompenda sana (mimi nikiwa mmoja wao) na kuna watu wanaomchukia sana (Samia akiwa mmoja wao),kosa kubwa alilofanya Samia ni kuonyesha hadharani hampendi Magufuli,nakuhakikishia Watanzania wengi sana walimpenda sana Magufuli,watanzania wengi wanaamini ni timu mtandao ndo walikuwa wanahusika kumkwamisha Magufuli
Umeandika vizuri sana
 
Nimecheka sana
 
Hapa umedanganya. Magufuli yule yule aliyemtimua CAG aliyefichua ufisadi? Yuleyule aliyependelea Mayanga construction? Yuleyule aliyewatajirisha vijana wake kina conductor & co? Yuleule ambae hatujui pesa za plea- bargain zilienda wai?
Assad alikuwa anatumiwa na Kikwete kumkwamisha Magufuli, si unaona juzi kaulizwa hali ya uchumi kwa sasa ikoje alivyojibu,yule mpumbavu hata mimi ningemtimua
 
2030 najua wanamuandaa mtu mwingine wakuja ku-clear cache za watangulizi wake. Yale makosa ataya clear na huo ndio mchezo wa mara kwa mara wa CCM. Mchezo wa Nyoka kujivua gamba au tai kujitoa manyoya ili yaje mapya
hii ngoma imefika kikomo yale ya mo29 ata wawatume watu kama wewe 200 mpambe hamtoboi vijana wa sasa wako mbele ya mda uliletwa udini kiicho tokea ulikiona nyeti kupotea ikapotelea uko sijui corona aikuzingatiwa juzi tu hapa makamu anatumia pesa vibaya walicho kijibu nadhani umekiona mtibeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…