Kaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.
Kaambiwa hayo ni mawazo yake, mazuri tu, ayaweke kwenye Ilani ya CHADEMA 2025 watu wapige kura, hataki.
Yeye anataka yawekwe sasa hivi kabla ya 2024 la sivyo atafanya fujo kuzuia uchaguzi usifanyike.
Hilo ni kosa la kuzuia Serkali halali isifanye kazi yake kwa Ilani yake watavuruga wataua Polisi watachoma moto madanduku ya kura watateka Vituo vya kura.
Kosa hilo huitwa Uhaini adhabu yake kunyongwa hadi ufe. Bora ukae mbali nalo okoa roho yako, yeye wakati huo atakua Ulaya, mke na watoto wake ni raia wa Marekani hawapo hapa.