Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hakuna kiongozi wa CHADEMA, wala chawa wao atakae kuja kukujibu mkuu.Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Kaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Tanzania GDP 1300usd, Singapore 🇸🇬 GDP 133,000usd, why Singida bado masikini sana?,magogoni wanawauliza wana Lumumba street???,nchi iliyojaa vituko na raia wapumbavuKaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.
Kaambiwa hayo ni mawazo yake, mazuri tu, ayaweke kwenye Ilani ya CHADEMA 2025 watu wapige kura, hataki.
Yeye anataka yawekwe sasa hivi kabla ya 2024 la sivyo atafanya fujo kuzuia uchaguzi usifanyike.
Hilo ni kosa la kuzuia Serkali halali isifanye kazi yake kwa Ilani yake watavuruga wataua Polisi watachoma moto madanduku ya kura watateka Vituo vya kura.
Kosa hilo huitwa Uhaini adhabu yake kunyongwa hadi ufe. Bora ukae mbali nalo okoa roho yako, yeye wakati huo atakua Ulaya, mke na watoto wake ni raia wa Marekani hawapo hapa.
Mkuu wewe endelea tu kunywa mtori, kama "issue" ni nyama tu, basi utakuja kuzikuta chini.Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Mipango ya chadema ni bam..bam...mtafute Rostam azizi ndiyo anayo mipango ya chademaMpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Wamedai hawatashiriki bila Katiba Mpya 🤣🤣🤣🤣Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Kasemea wapi hayo mbona mageni sana.Kaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.