Mambo mengi ambayo Tundu Lisu amezungumza, yamefanyiwa kazi..japo bado mengine Kama..
FAO la kujitoa
Shamba kagera
TRA
Mayanga construction
Mpwa mlipaji Mkuu
AminaMabibi na mabwana heshima kwenu.
Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa kuisimamia haki vilivyo na kwa nguvu zetu zote.
Safari ya Mlandizi ilendelea si kwa sababu wajuvi wale hatimaye busara iliwarejea, bali waziwazi walitambua tulimaanisha biashara. Kwamba tulisimama kampeni kwa hukumu isiyokuwa ya haki? Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwetu.
Ni muhimu sana watambue hatutatambua tena haramu yoyote iwe ni nyama, hukumu, sheria, kanuni, taratibu au lolote. CHADEMA, mpeni Lissu nafasi zaidi ya kuamua way forward na kampeni hizi.
Hatukupaswa kuridhia kusimama kampeni kivile. Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Tulio tayari kuwa naye popote alipo (we mean it) hatuko wachache.
Habari hii na iwafikie wajuvi wote popote walipo.
Lisu Ni kiranja WA siasa za Tanzania.
Hata mimi naona kaonja kifo 🚶Hayo hayana ubishi mkuu.
Tundu kaonja kifo anafahamu kuwa haki haiombwi. Haki hudaiwa.
Ninasema kama shahidi niliyekuwa JKNIA na pia kiluvya jana.
Kusimamishwa kampeni ilikuwa batili kama alivyo kuwa kasema yeye, hakupaswa kusimama.
Kama kamati kuu CDM ilikuwa na nia ya kupima maji nadhani majibu wameyapata tusimame na haki zetu.
Basi hiyo na iwe basi kweli kweli
Msijali atawaokoa tu.Haki haiombwi. Lissu anapigania haki yake. Kuomba haki kumetufikisha hapa tulipo.
Lissu asingerudi tungekuwa katika hali mbaya zaidi.
Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na KanuniMabibi na mabwana heshima kwenu.
Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa kuisimamia haki vilivyo na kwa nguvu zetu zote.
Safari ya Mlandizi ilendelea si kwa sababu wajuvi wale hatimaye busara iliwarejea, bali waziwazi walitambua tulimaanisha biashara. Kwamba tulisimama kampeni kwa hukumu isiyokuwa ya haki? Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwetu.
Ni muhimu sana watambue hatutatambua tena haramu yoyote iwe ni nyama, hukumu, sheria, kanuni, taratibu au lolote. CHADEMA, mpeni Lissu nafasi zaidi ya kuamua way forward na kampeni hizi.
Hatukupaswa kuridhia kusimama kampeni kivile. Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Tulio tayari kuwa naye popote alipo (we mean it) hatuko wachache.
Habari hii na iwafikie wajuvi wote popote walipo.
Hata mimi naona kaonja kifo 🚶
Msijali atawaokoa tu.
Mimi simo kwasababu Lissu hawezi kunisaidia chochote hapa duniani mpaka kiama.Pole kama wewe haumo.
Mkuu Sina stress za maisha kiasi hicho.Lissu hana nafasi yoyote kwenye maisha yangu na hawezi kunisaidia kwa chochote kile,anachonizidi yeye ni uropokaji tu.Mbona kwa unyonge hivyo? Mwaka huu si meko peke yake. Nyote ni vipara kwa kwenda mbele.
Mkuu Sina stress za maisha kiasi hicho.Lissu hana nafasi yoyote kwenye maisha yangu na hawezi kunisaidia kwa chochote kile,anachonizidi yeye ni uropokaji tu
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Phd ni hatari kwa taifaHis Excellency Chakwera has got enough tales to take with him to Lilongwe.
Hiiiii bagosha!