Hakuna kitu kinaitwa united states of tanganyika, sema inaweza kuwa democratic republick of tanganyikaChadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
Ni kwamba huko zamani hakukuwepo na maeneo ndani ya Tanganyika ,labda tuchukulie wale watawala machifu maarufu akina Mirambo Mkwawa ,inawezekana achana na hii mikoa inazidishwa kila siku ili kuzidi kututawala kimambolea, haya ya kuzalisha mikoa mipya ni ile agenda waliyoitumia wazungu kuigawa afrika kama mkate wa slesi.Hakuna kitu kinaitwa united states of tanganyika, sema inaweza kuwa democratic republick of tanganyika