Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
Ni kwamba huko zamani hakukuwepo na maeneo ndani ya Tanganyika ,labda tuchukulie wale watawala machifu maarufu akina Mirambo Mkwawa ,inawezekana achana na hii mikoa inazidishwa kila siku ili kuzidi kututawala kimambolea, haya ya kuzalisha mikoa mipya ni ile agenda waliyoitumia wazungu kuigawa afrika kama mkate wa slesi.
...Sijui kama mmeistukizia hii sera ya ccm kuzalisha mikowa... huchomeka wakuu wa mikoa makada wa polisi au jeshi na ndio ukaona wanataka kukaa madarakani milele