CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake ili ajenge chama, usidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi

Mbowe tapeli yule alikuwa anakopesha chama million 100 anakuja kukata million 200 mbowe kiufupi ana madudu mengi Sana
 
SI MACHAWA MNASEMA LlSU ANAKUBALIKA SANA, MWAMBIE AANZISHE CHAMA AWE NA MSIGWA, BY 2025 AINGIE MZIGONI WA KITU CHA URAIS
Ulichochangia kina uhusiano gani mada husika?
Au wewe ni mwa sha mbwa mwenye gwanda.
 
Utauzaje mali zako ujenge chama, ni kampuni ya fanilia?

Uekewe chana cha siasa ni mali ya umma.
Acheni wizi enyi (washaka)
 
Hao waliokufa wakiipigania chadema wao wasemeje?
 
Ni kweli sasa apishe damu changa aendelee kuheshimika
 
Haijalishi nipo kambi ya lissu kuna wakati lissu ananipa mashaka ila namuombea abadirike asipende kulopoka kwa kutweza watu maana hao bado wanaushawishi kuliko yeye
 
Mb
Mbowe kajenga Mahoteli huko kwao kupitia chadema,kila mwaka alikuwa anakopesha chadema na kujilipa kwa riba kubwa,kuna kipindi wabunge wake walikuwa wanalalamika kuwa wanakatwa ela nyingi kwaajili ya maendeleo ya chama, lakini zote zinaishia kumlipa Mbowe.Mbowe amenufaka na chadema kuliko hata hakina Makani waanzilishi.
 
LISSU alipigwa risasi 16, karibia afe.

Mbowe hajawahi KUPIGWA HATA MANATI....🤣🤣🤣🤣 Z aidi ya kulowa mvua kwenye Maandamano
 
Tunamsapoti Mbowe ila kusema kauza vitu vyake kuisaidia CHADEMA nakataa. Mali zinazoonekana za Mbowe ni za urithi toka kwa babake Aikaeli. Babake Mbowe alikuwa tajiri wa ukweli. Kwenye msiba wake nilkunywa soda 7. Wabunge wote wa CHADEMA walikuwa wanakatwa kwenye mishahara yao kusaidia chama kumbe wanamsaidia Mbowe. Kila hela anayokopesha chama huwa anadai kwa riba. Mbowe kanufaika zaidi na CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…