Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye moja na mbili za kutafuta mkate na chumvi.
Ulichochangia kina uhusiano gani mada husika?SI MACHAWA MNASEMA LlSU ANAKUBALIKA SANA, MWAMBIE AANZISHE CHAMA AWE NA MSIGWA, BY 2025 AINGIE MZIGONI WA KITU CHA URAIS
Utauzaje mali zako ujenge chama, ni kampuni ya fanilia?CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu
Taco lacoSI MACHAWA MNASEMA LlSU ANAKUBALIKA SANA, MWAMBIE AANZISHE CHAMA AWE NA MSIGWA, BY 2025 AINGIE MZIGONI WA KITU CHA URAIS
NGOJA WANIFUNGIE POTELEA MBALI, KWANINI UMENITUKANA? MUULIZE MA ...MAYAKO TAKO LANGU LIKOJE?Taco laco
🤣🤣🤣alishanieleza shemeji yaani mkeo 🤣NGOJA WANIFUNGIE POTELEA MBALI, KWANINI UMENITUKANA? MUULIZE MA ...MAYAKO TAKO LANGU LIKOJE?
Hao waliokufa wakiipigania chadema wao wasemeje?CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu
Ni kweli sasa apishe damu changa aendelee kuheshimikaCHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu
MbCHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu
Mbowe kajenga Mahoteli huko kwao kupitia chadema,kila mwaka alikuwa anakopesha chadema na kujilipa kwa riba kubwa,kuna kipindi wabunge wake walikuwa wanalalamika kuwa wanakatwa ela nyingi kwaajili ya maendeleo ya chama, lakini zote zinaishia kumlipa Mbowe.Mbowe amenufaka na chadema kuliko hata hakina Makani waanzilishi.CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu
LISSU alipigwa risasi 16, karibia afe.CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi